Huwa nina mikato yangu naona wewe uko extra miles[emoji1] so nitakushindwaHaaaa! Kwani nipoje embu dadavua. Manake mm nakukubali kinoma sema hujui tu na pm zako umezifunga
Hapana. Sasa wewe unavyovipenda ndio sumu sasa.Huwa nina mikato yangu naona wewe uko extra miles[emoji1] so nitakushindwa
Mie naona atoto ndio size yakoHapana. Sasa wewe unavyovipenda ndio sumu sasa.
Mimi swezi kuwa extra mbele ya mtoto kama wewe hapo najua umeiongelea opp
Baba yangu ametangulia mbele ya haki miaka kumi iliyopita, kila nisikilizapo wimbo huu wa Luther Vandross huwa machozi yanatoka tu. Nilimpenda sana baba yangu.
Afu alinipa # ila kila nikimuandikia watsapp hajibu.Mweeeeh atoto next level huyo na inatakiwa ujipange haswaaaa
tehAfu alinipa # ila kila nikimuandikia watsapp hajibu.
Ila yeye sidhani ni noti mbele kwanza kama mtani wangu miss chagga
kwani unambeba mgongoni?Wewe sikuwezi
Mkuu kaza kamba. endelea mbele kidogo unaokoelekea si kubayaHapana. Sasa wewe unavyovipenda ndio sumu sasa.
Mimi swezi kuwa extra mbele ya mtoto kama wewe hapo najua umeiongelea opp
Tuko PM huku ww hushangai kimya hapa.Mkuu kaza kamba. endelea mbele kidogo unaokoelekea si kubaya
Naona mkuu. kila la kheriTuko PM huku ww hushangai kimya hapa.
Poa mkuu ngoja niondoke humu nisiharibu thread ya kipenzi changu dada yangu Heaven SentNaona mkuu. kila la kheri