Asavali!!!!!!! Uko wapi we mla rambi rambi hunitishii nishapata wakili msomi mieeeee lisu cha mtotoo
hahahaaaa
ila umetuonea kwa kusema wadada zaidi. kwani humu hakuna Me wenye makidai, na ma avatar ya kututega .. wengine ma six pack, wengine vitambi, wengine naniliu na kadhalika.
credit izifikie avatar kwa kweli maana ingekuwa majangaaaa
Hata sitaogopa maana najiamini na najijua, FB, IG mbona wanaweka picha na hakuna anaekimbia?
Ndio maana nafurahia kumuona live Avemaria