Support itolewayo na Avatar

Kama mie ikitokeaa avatar yangu nna uhakikaa hawa wafuatao watu8 Excel badiebey lusungo Evelynsalt bila kumsahau babu Asprin uuuuuwiiiii hawatanipa like tenaaa wallah
Nashukuru sana hii avatar ya mwarabu inaniokoaaaa

Weka ile ya mwanzo banaa

Ile yenye ushungi mwekundu ilowazingua wengi kiasi cha kunifanya hata Mimi nikupe rep power....
 
Last edited by a moderator:
Mr. Wise,

leo nacheza na google images tu kwenye huu uzi!!

avatar za watu kulaleki lazima ziwekwe wazi..!! hahahaaa!!



similar birds...
dah...! leo nisipopigwa!! hmm! hebu ngoja kukuche!! lolz!!

Kudadekiiiiiii
 
Hahahaa haaaa
Jamani jamani mnanitafuta nyie sio bure
Siweki ng'o
 
Last edited by a moderator:

Mkuu avatar yake ni hatari imekufanya umejua sifa zote alizonazo eeeeeeeehhhhh duh
 

Hahahaa haaaa
Mmu bana wajanja sana
Bt avatar yangu japo nusu inajieleza
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…