Supplier wa chupa tupu za plastiki au za glasi anatakiwa

Swordfisher

JF-Expert Member
May 1, 2013
233
37
Jamani kama kuna mtu anayeuza chupa tupu zenye seals na vizibo vyake ziwe za plastiki au za glasi naomba ani PM tafadhali.
 
Dar kuna mmoja namfahamu, sina contact ila naweza kukuelekeza ukamtafute, ana varieties yingi za makopo etc.. Nenda pale TRA mwenge, upande wa pili wa jengo la TRA mwenge kuna barabara inashuka chini... Nenda nayo hiyo barabara kwa mbele mkono wa kulia lipo hilo duka.
 
Sawa Mkuu, ngoja nitamtafuta.
 
Back
Top Bottom