Supplementary kusogezwa mbele udom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Supplementary kusogezwa mbele udom

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kaka mwisho, Aug 9, 2012.

 1. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma (udom) kipo kwenye mazungumzo na serikali ya wanafunzi ili kiweze kuwasaidia wanafunzi ambao mpaka sasa hajaona matokeo yao nahuku wakitakiwa kufanya supplementary zao tarehe 27 ya mwezi huu. MAAZIMIO WANAFUNZI WOTE WAWASILIANE NA MA CR WAO PAMOJA NA DERPATMENT ZAO. Onyo kukosa supplementary utadisco na chuo hakitahusika kwa namna yoyote. KWA MAELEZO ZAIDI WAWEZA FIKA CHUONI.
   
 2. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  uongozi wa chuo unalishughulikia soon litakuwa solved
   
 3. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chuo cha mazezeta
   
 4. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha utoto wa kipumbavu
   
Loading...