Mkuu hoja yangu ni, wapunguze bei ili waongeze wigo wa wateja. Watanzania wenye uwezo wa kumudu hizo bei ni wachache na wengi hata sio wapenzi waa mpira ki hivyo. By the way Mimi ni miongoni mwa hao wachache wanaoangalia nyumbani. Isidhani nalalamika.Baada ya kutukana wenzako- sasa tuambie hiyo bei inawezaje kupunguzwa
Tatizo sio azama bali hali ya uchumi wa watanzania imeshuka sana. Mimi zamani nilikuwa nikisikia premier sasa nalipia cha 20k kwa mwezi mipira naangalia barSupermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.
Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.
Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.
Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.
Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.
Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.
Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
Ww ndo ulikuwa kwenye duka la nguo hapo kulia ukipita kuingia supermarket? Kuna siku nimeingia nimemkuta mshkaj fulani ana mashati na tshirt nyingi nyingi. Ila bei pia zilikuwa za kisuper star kidogo....itakuwa ndio ww, mshikaj mwembamba wastanYani pale cjui shida n nn, cjui wahapatangazi kuvutia wateja au vipi mana nlipokuwa nafanya kazi unaweza kukaa hata wiki mbili hakuna mtu kuja hata kuuliza bei ya bidhaa.
Tatizo lenu wengi humu ni vilaza na wapenda kupiga porojo za kisiasa, hawajishughulishi kusoma na kutafuta vyanzo vya habari kwa taarifa sijui hapa CCM inahusika vipi,nadhani ungekuwa msomaji na sio mvivu wa kusoma ungeshajua kuwa hata huko Afrika Kusini DStv inpo ICU baada ya watoa maudhui wa mataifa ya Ulaya wengi wao kuanza kusitisha maudhui yao kurushwa na DStv na hata NatGeo nao wanafikiria kujiondoa, mfumo wanaotumia DStv umepitwa na wakati. Tukiwa vipofu wa kila kuona kila jambo hasi ni matokeo ya CCM sidhani kama tutafika mbali kwani hata utailaumu CCM kwa kushindwa kuweka mkate mezani kwa kuwa kutwa upo unapiga soga za kuilaumu CCM, na mwisho jiulize kwani Azam Tv wanaikimbiza kwa mbali DStv?Serikali katili ya CCM ndio chanzo ya yote hayo. Kila mtu sasa ameamua kuwa mmachinga ili kusogeza siku.
Mkuu hapo ndiyo kwako- hongeraMkuu hoja yangu ni, wapunguze bei ili waongeze wigo wa wateja. Watanzania wenye uwezo wa kumudu hizo bei ni wachache na wengi hata sio wapenzi waa mpira ki hivyo. By the way Mimi ni miongoni mwa hao wachache wanaoangalia nyumbani. Isidhani nalalamika.
View attachment 1944896
About 160,000 results (0.60 seconds)Tatizo lenu wengi humu ni vilaza na wapenda kupiga porojo za kisiasa, hawajishughulishi kusoma na kutafuta vyanzo vya habari kwa taarifa sijui hapa CCM inahusika vipi,nadhani ungekuwa msomaji na sio mvivu wa kusoma ungeshajua kuwa hata huko Afrika Kusini DStv inpo ICU baada ya watoa maudhui wa mataifa ya Ulaya wengi wao kuanza kusitisha maudhui yao kurushwa na DStv na hata NatGeo nao wanafikiria kujiondoa, mfumo wanaotumia DStv umepitwa na wakati. Tukiwa vipofu wa kila kuona kila jambo hasi ni matokeo ya CCM sidhani kama tutafika mbali kwani hata utailaumu CCM kwa kushindwa kuweka mkate mezani kwa kuwa kutwa upo unapiga soga za kuilaumu CCM, na mwisho jiulize kwani Azam Tv wanaikimbiza kwa mbali DStv?
Ukweli ni huu hapaSupermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.
Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.
Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.
Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.
Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.
Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.
Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
Vifurushi lazima vipande bei mjombaAzam wafanye joint venture kununua haki za kuonesha epl tuachane na dstv
Magufuli hajabana tena?πππSupermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.
Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.
Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.
Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.
Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.
Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.
Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
Hata wakipandisha angalau tutaangalia ligi ya ndani na uingerezaVifurushi lazima vipande bei mjomba
Wasepe maana Hawa ndio wamejipa umiliki wa mechi za ulaya..wakiondoka Hawa mbona itv na Azam watapata vibali vya kuonyesha mechi za ulaya..tatizo lao hawajalisoma soko letu vizuri. Gharama zao kuzivumulia yahitaji moyo wa chumaDstv wanashindwa kutumia advantage ya monopoly kuweka unafuu wa huduma zao kwa wateja, wanakuja kulialia huku......kama vipi wasepe tu tufanye mambo mengine, entertainment siyo kuangalia mpira peke yake.
Mbona Zanzibar hawa pati shida ya kuangalia ligi za ulaya ving''amuz vyao bei laisi Sana na DSTV hawa soko ZanzibarWasepe maana Hawa ndio wamejipa umiliki wa mechi za ulaya..wakiondoka Hawa mbona itv na Azam watapata vibali vya kuonyesha mechi za ulaya..tatizo lao hawajalisoma soko letu vizuri. Gharama zao kuzivumulia yahitaji moyo wa chuma
Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.
Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.
Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.
Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.
Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.
Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.
Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
Uongo dhambi,Hapo kwenye Dstv sidhan kama ni kweli, azam TV wenyewe tuu TPL inaonyeshwa hakuna hata quality vipi hy EPL