Supermarket maarufu "Game" iliyopo Mlimani City inatarajia kufunga biashara zake

Kweli kabisa,,heri tumuunge Azam kuliko wasauzi.
Miaka 4 iliyopita DSTV alikuwa analipa USD 10M kupata haki ya kuonyesha michezo hii! na haki ya all Africa(excluvity wright)Sizani kama Azam na Wateja alionao anaweza weza lipa kiasi hiki.
 
Wiki hii nilikuwa hapo Game imejaa bidhaa kama kawaida, nilidodosa kuhusu habari za wao kufunga nikajulishwa hawafungi ila mwekezaji anabadilika aliepo sasa atauza umiliki wa africa mashariki kwa mwekezaji mwingine, sio Tanzania tu bali nchi zote za africa mashariki pamoja na Kenya &Uganda. Hivyo ni mwekezaji ameamua kujitoa ukanda huu.
Huu ndio ukweli na si kama watu wanavyosema kuhusu kufilisika
 
Hapo kwenye Dstv sidhan kama ni kweli, azam TV wenyewe tuu TPL inaonyeshwa hakuna hata quality vipi hy EPL
Kilichonishinda Azam ni mwonekano mbaya sana wa picha-Binafsi siwezi spend hata one minute kuumiza macho yangu kwenye hzo decoder zao 🤣 🤣
 
Wiki hii nilikuwa hapo Game imejaa bidhaa kama kawaida, nilidodosa kuhusu habari za wao kufunga nikajulishwa hawafungi ila mwekezaji anabadilika aliepo sasa atauza umiliki wa africa mashariki kwa mwekezaji mwingine, sio Tanzania tu bali nchi zote za africa mashariki pamoja na Kenya &Uganda. Hivyo ni mwekezaji ameamua kujitoa ukanda huu.
Huu ndio ukweli na si kama watu wanavyosema kuhusu kufilisika
 
Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.

Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.

Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United, Arsenal, Liverpool, Chelsea, Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.

Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England, Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya, Uganda n.k.

Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba, Yanga, Namungo, Biashara United, n.k.

Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20. Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii. Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza, Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.

Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.

Kama watafunga biashara sababu ni kuongezeka kwa matumiz ya internet ambapo unaweza kustream live michezo.mingi ikiwemo mpira kuna Apps kibao za kustream

Wala sababu sio Simba na yanga na pia sio sawa kuwa ushabiki wa ligi ya uingereza umepungua tambua kuna team nne tu hapa ndo watu wanaangaliaga kwa wingi .. Man u, Chelsea, Arsenal na Liverpoll... Kidogo na labda city na Tots...

Sasa utasema ushabiki umepungua kwa research iliofanyika.. Tena mitandao ndo imeongeza ushabiki

Kama wanaondoka sababu ni bei kubwa ya vifurushi wakat channels ni zile zile kama za wenzao kisa wanaonyesha Ligi ya Uingereza na la liga.. Ukiondoa channel za ligi vipindi vilivyobakia unapata ukiwa na Zuku au Azam

Sasa mtu anaona kwenye mechi za ligi acha akaangalie baa au asitreamike .. Kisha kinga'amuz anatumia cha Azam au Zuku

Binafsi nina Dstv.. Ila natumia kifurushi cha compact na kwenye mpira na stremika na kwenye movies natumia netflix 16,000 kwa mwez
 
Miaka 4 iliyopita DSTV alikuwa analipa USD 10M kupata haki ya kuonyesha michezo hii! na haki ya all Africa(excluvity wright)Sizani kama Azam na Wateja alionao anaweza weza lipa kiasi hiki.

Mtu ambae utajiri wake haweki wazi muogope sana.
 
Azam wafanye joint venture kununua haki za kuonesha epl tuachane na dstv
Majibu mepeeeesi kwa ishu nzito. Kwahiyo afanye joint venture na Star TV? Au labda na KTN ya Kenya sio? Kama fursa hiyo ingelikuwapo wangelisubiri ushauri wako?
 
Kabla ya DSTV kuja Tanzania kufungua ofisi zao za Mauzo na customer care Watu walikuwa wanaltumia na kulipa South Africa moja kwa moja-Kwa sasa kwenye tovuti yao kuna watu hapa Tanzania wanalipia online kwa Visa/master card kupata packages za South Africa ambazo mbali na kuwa na Channels Nyingi zaidi ya Vifurushi vyetu pia ni Raisi sana ukilinganisha na vya Tanzania.(ili upate South Africa DSTV packages Unaelekeza Dish kwenye Transponder ya SA)Ushindani uliopo sasa unaletwa mbali na Azam na wengine(BeinSport ya Dubai-Ligi zote za Ulaya kwa mwaka unalipa $100 tu) Kuna TV mtandao (IPTV) zinazoonyesha mipira yote Bure hivyo Kupelekea Wateja wa DSTV kupungua,Watafunga ofisi zao kupunguza OPEX na kubaki na mawakala .South Africa Bado itaendelea kuwa Strong base yao kwani kule pia ni Kama Startimes hapa Tanzania So awana Mshindani na pia kule wana IPTV na VOD services so new comers wanashindwa kupambana nao.
Sorry Mkuu,
Unaweza kunisaidia utaratibu wa kupata hiyo decoder ya South Africa kama unaelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom