Super Gorgeous !!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Super Gorgeous.jpg
...............
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya 'beautiful' na 'gorgeous'....huyu dada ningemuita beautiful...gorgeous mmh mmh!
 
Hiyo picha yangu umeipata wapi Boflo, hiyo ilikuwa kabla sijaanza kutotoa :)
Madam...umetotoa vifaranga wangapi? Kutotoa isiwe sababu ya kuachia tumbo la mfumuko kama wa bei za bidhaa.
 
Last edited by a moderator:
Sisi wengine size hizo hatumind sana. hasa nikiona hizo Clavicles mhnnnnn -unaweza weka kikombe kizima cha maji
 
Sisi wengine size hizo hatumind sana. hasa nikiona hizo Clavicles mhnnnnn -unaweza weka kikombe kizima cha maji
 
nimetafuta kasoro nimekosa,ngoja niseme tu kwenye uzuri anajitahidi ila io mifupa imesimama nadhani atakua anaumwa rickets,kiddin
 
huyu kaumbwa au kashushwa?? bila shaka kazaliwa kwa operesheni huyu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom