Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,891
- 27,391
Rais wa Marekani, Donald Trump, amebadilisha rasmi jina la Artificial Intelligence (AI) kuwa “Super Intelligence (SI)” baada ya kusaini Executive Order tarehe 29 Septemba 2026, inayozielekeza government agencies kutumia “Super Intelligence” na “SI” katika official communications, policy documents na government websites, badala ya “Artificial Intelligence” na “AI.” Wazo hilo lilianza kujitokeza hadharani siku chache kabla, ambapo Trump alizungumzia majina mbadala kama Extreme Intelligence na Superior Intelligence, kabla ya kulitangaza rasmi katika hotuba yake kwenye UN General Assembly tarehe 22 Septemba 2026.
Trump alisema sababu kubwa ya kubadilisha jina ni kwamba neno “artificial” kwake linaashiria kitu cha bandia au kisicho halisi, wakati technology hiyo imefikia kiwango kikubwa cha uwezo na inaweza kuongeza uwezo wa binadamu katika ubunifu na shughuli mbalimbali. Katika hotuba ya UN, Trump alisema Marekani itaanza kutumia jina Super Intelligence, akieleza pia kuwa technology hiyo inaweza kuwa na impact kubwa kuliko Industrial Revolution na hata internet, na kwamba Marekani haipaswi kuzuia technological advancement kwa regulations nyingi.
Upigeaji signnhuo uliofanyika 29 Septemba 2026 ndiyo unafanya wazo hilo kuwa official government directive. Executive Order hiyo inaelekeza serikali kutumia “Super Intelligence” katika maeneo yanayoruhusiwa kisheria, huku White House Office of Science and Technology Policy ikipewa jukumu la kuandaa official definition ya “Super Intelligence” na kupendekeza hatua zaidi. Hata hivyo, mabadiliko hayo kwa sasa yanahusu matumizi ya jina ndani ya serikali ya Marekani; hayamaanishi kwamba international scientific and technology community imekubali kubadilisha rasmi jina la AI kuwa SI.