Hii ni super subs ya kibabe kabisa

Hii ni super subs ya kibabe kabisa

36must

Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
56
Reaction score
107
Game ya UEFA baina ya France vs Belgium, coach wa France Zinedine Zidane amefanya super subs ya kibabe kabisa, baada ya kuwa nyuma kwa goal moja kwa bila, hadi alipofanya mabadiliko kwenye dakika ya 62, akaiua match kabisa.
 

Attachments

  • IMG-20261006-WA1652.jpg
    IMG-20261006-WA1652.jpg
    402.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom