Supa star wa JF


Ndugu mi nadhani unazungumzia wachangiaji maarufu.Na mtu anakuwa mchangiaji maarufu kwa kuchangia sana.
Au pengine ni mamembers wa muda mrefu na wanajuana na kuzoeana kiasi ambacho
wanaweza kupiga story na kuchat katikati ya
thread ya mtu na ikawa ni sawa kwao.


Na mara nyingi hata majibu mtu anayopata inategemea sana na ID yako inafahamika au ni mpya yaani mgeni.

Lakini pia wapo wenye kuheshimu kila member haijalishi amejiunga leo au 2006,example Asha Dii.

Hivyo point yako binafsi nimeielewa nadhani unazungumzia wachangiaji maarufu ila sio usuper star coz hakuna super star mtu ukishakuwa nyuma ya ID ya bandia na picha ya bandia.
 
Jf superstar jukwaa la utani/jokes hapo ni exellent. Hayo mengine hayatabiriki, kama jukwaa la siasa ndo kabisaaaaaa!
 
Naona watu wanazuga sana, piga ua, garagaza, fanya vyovyote vile whatever, ukimbie, ubaki, unga robo chenji ibaki..sijui nin, sijui nini, hapa JF masupastaa kibao tu..... Lizzy AD woteeeeeeeeeeee(Afro. Dena, AshaD) MziziMkavu Riwa Buji Gaijin Feisbuku Asprin Klorokwni Kwinini FirstLady MMMJ Invi wote Katavi TF NN-aka nyani Washa Dr City Kongosho Gerald Maboss FF Smile ...yaani kibao tu, ukiweza kunywa na umeze ukishindwa sepa: ......katuni kidole ...gonga thanks
 


Mpoleee dear... Kwa mtazamo wako do I qualify kama super star nikupe jibu?
 
Masuper star wa JF ni wale waliojaza PM box zao si chini ya mara nne mwaka huu.
 
wewe si walikutaja?
Au unataka wakutaje tena??
Mie naogopa kweli hukawii kupakaziwa skendo
Hiyo imekaa kiupendeleo zaidi maana vigezo havijawekwa wazi. . .
Alafu skendo mbona nlishazoea.Hapa tena. . . kila mtu na lake.
 
Mi nilichokaje?
Kijana wangu si kidogo ashindwe kutembea dede
siyataki kabisa maskendo ya ustaa

Hiyo imekaa kiupendeleo zaidi maana vigezo havijawekwa wazi. . .
Alafu skendo mbona nlishazoea.Hapa tena. . . kila mtu na lake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…