The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Na mie nataka kuwa supastar wa Jf nifanyaje?
Tobaaaaa......Toa hongo.
Tobaaaaa......
Mimi ni Supa Star kule kwetu Tandale mitaa ya Mtogole, Kwa Tumbo, Bi Nyau na Kwa mfuga mbwa, watoto wa kule kitaa huwa wananikoma sana nikiishapiga raba zangu za Michael Jordan na pensi nyanya mtaani hakukaliki kabisa...
Tobaaaaa......
Leo hii ndio unajifanya kushangaa?
Nashangaa kweli sababu huwa unachukua hongo za viwanja na majumba sasa kupokea hongo ya huyu si utakuwa unamuonea tu...lolLeo hii ndio unajifanya kushangaa?
Nasikia siku hizi unachanganya na Sulphur Dioxide..Afu unavyodharau mitaaa yangu
Ukija sikuuzii
afu sasa hivi na product mpya
kwa jf staaz only
nzuri sana
Nashangaa kweli sababu huwa unachukua hongo za viwanja na majumba sasa kupokea hongo ya huyu si utakuwa unamuonea tu...lol
TF hatoagi hongo kabsa
labda umwendee Sumbawanga
Hunijui sikujui achana na mimi....Nauliza maana mwenyewe ulitoa kuukwaa usupar star leo hii unajifanya we mpokeaji tu.Haloo halooooooooo.
Hunijui sikujui achana na mimi....
Utajibebajeeeeee.....Utajijuuuuuuu ila habari ndio hiyo.
Nahisi mmekuja kwa ukali sana. Kama nimekosea kurusha hi topic naomba mnisamehe.
Sikilizeni nyie vilaza, mimi ndiye mtu wa kwanza kujiita JF Superstar.,
Hunijui sikujui achana na mimi - Lizzy, The Finest & Kongosho(Promotion)....
Utajibebajeeeeee.....