Supa Ghee

Supa Ghee

labda tunashindwa kutaofautrisha kupenda sifa na kuupenda mkoa wao, hivi unawajuwa wapenda sifa wewe? hebu fuatilia vizuri utajua maana ya kupenda sifa.
 
tabora-discharges-asphalt.jpg

Kumbe Wanyamwezi wana Meli kubwa hivi?
 
Iko haja Mwigulu Nchemba kuthibitisha kama ni msukuma au Mnyamwezi, mi nadhani anaongoza kwa kupenda misifa ya kijinga ( mchumi Daraja kwanza) ye anajiona ni zaidi hata ya walimu waliomfundisha na maprofesa wa uchumi walio bobea ktk fani lkn hata hawajisifu)
 
Futari inalevya,eti alitaka kulipiza misosi yote ya siku kwa mara moja
 
Iko haja Mwigulu Nchemba kuthibitisha kama ni msukuma au Mnyamwezi, mi nadhani anaongoza kwa kupenda misifa ya kijinga ( mchumi Daraja kwanza) ye anajiona ni zaidi hata ya walimu waliomfundisha na maprofesa wa uchumi walio bobea ktk fani lkn hata hawajisifu)

Mwigulu ni neno la kinyamwezi. Hebu soma hii verse
Wafuma Mwigulu wanagaluka mwana wa ntemi, aliy'umaye watolwa u mwana wa ntemi.
Utaona kuwa Mwigulu ni mahali patakatifu pa mtemi. Wakristo wanasema madhabahu. Na Mchemba pia nyamwezi. Nadhani mnamkumbuka aliyewahi kuwa mbunge wa viti maalumu toka tabora, Mwanne Mchemba
 
Back
Top Bottom