Sungu sungu wanikoseha uroda

Sungu sungu wanikoseha uroda

Mlundilwa Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2019
Posts
3,465
Reaction score
5,434
Habari wakuu

Kweli nimeamini ijumaa 13 siyo siku nzuri kabisa, inshu ipo hivi, jana mida ya jioni hivi nilikua nina nilikua na miadi ya kukutana na demu wangu na kweli ilikua hivyo kwani tulianza kuwasiliana mida ya jioni ili tumeet

Kwakifupi niliweza kukutana na shemeji yenu mida ya saa 1 ucku asa ikabidi tutafute eneo ili tuongee mawili matatu theni mambo mengine yafuate

Hatujaanzanza hata kuongea nashangaa tumezingilwa na njemba kama tatu na zikajitambulisha kuwa ni askari

Baada yahapo wakuu tukaanza kuhojiwa eti nyinyi mnaajenda gani yani nimtu na nani yake

Tulivyosema niwapenzi mara nikashaanga natiwa pingu na ilikua ni kwamara ya kwanza kuvalishwa yale madude asee

Mara ooh twendeni kituo cha police lakini iliwalazimu wazungukie maeneo mengine na wakafanikiwa kuwakamata watu wengine kama wawili na wao walikua kila mtu na mpenzi wake

Hatmae wale jamaa walifanikiwa kutukusnya watu kama sita yaan wasichana 3 na wavulana 3

Tukawa tunaelekea police, njiani sasa wakaanza ooh mmejipangaje ili tuweze kuyamaliza kwa bahati nzuri nilitembea na kaa 10000 ila jamaa wakasema tunaenda kumalizana police

Hatimaye tukaswekwa sero wakuu na ilikua ni kwa mara yakwanza kuingia mle, tulikuta kunanuka mikojo sana na kuna joto balaa.

Hatimaye baada ya nusu saa nikatoka na nilitoka kwa ajiri yakile ki10000 nilichokua nacho pia yule binti niliyekuwa naye pia akatolewa na kuruhusiwa kuondoka nyumbani

Doooh sungusungu siyo watu wazuri kabisa wapo kimaslahi hawa jaamaa, bila kale kaelfu kumi nilikua nakesha sero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazingira uliyokutwa nayo ama muonekano wako vimekuponza! Hao jamaa huwa wanakupima wakiona unajielewa wanasepa na zao ila kama hueleweki lazma wakuzingue na wakukung'utishe mashuka yote! Ili siku ingine uwe ktk hali ya utimamu. Wewe uliponzwa na nyege shemej yetu unakutana nae vipi vichochoroni au kwenye giza? Alafu usiku? ( baba la baba ulitaka uskutue cha wima nini? Dah pole sana ila usirudie na siku yenyewe kama ulivyosema haieleweki
 
Dah..Bwana mdogo kumbe ww bado ni MVULANA.?.
ndio mana ukashangaa kutiwa kamba za chuma na kuongia cello.
Kwa sie wanaume hivyo mbina ni vitu vya kawaida tu.Ngoja ukue.Halaf unatembeaje na 10,000/= na uko na mtoto wa watu??..
Ina maana ulijipanga kwenda "low leve"l houses hapo ukalipe 5,000/= show time. Nyingine inayobak boda boda.Mtoto wa watu,msichana anatoka Kapa!!

Ila shukuru umelala mahal pa bure bila kulipa.
Ahahahahaha
 
Dah..Bwana mdogo kumbe ww bado ni MVULANA.?.
ndio mana ukashangaa kutiwa kamba za chuma na kuongia cello.
Kwa sie wanaume hivyo mbina ni vitu vya kawaida tu.Ngoja ukue.Halaf unatembeaje na 10,000/= na uko na mtoto wa watu??..
Ina maana ulijipanga kwenda "low leve"l houses hapo ukalipe 5,000/= show time. Nyingine inayobak boda boda.Mtoto wa watu,msichana anatoka Kapa!!

Ila shukuru umelala mahal pa bure bila kulipa.
Ahahahahaha
Kalipia selo 10000 alafu kakaa nusu saa tu. na wametoka wananuka mikojo...bora hahahaa tarehe 13 siku ya kingese kabisa
 
Mimi siwaamini sana wanawake hasa linapokuja suala la kukodishiana vikojoleo hawa watu wana akili nyingi japo tunawachukulia poa lakini naamini sisi ndio tunapaswa kujichunga nao, wana akili zilizopitiliza na uvumilivu wanao pia..yaani hapo huyo mpenzi wako hawezi muhadithia kamwe mpenzi wake yaliyomkuta jana..au mmoja wa sungusungu anawafahamu
 
Wewe kuna kitu umeruka hujaeleza yote yaliyotokea sungusungu saa 1, ni maeneo gani hayo? Tena mnaongea hayo hayakua maongezi ya kawaida, ila kwa sisi wakongwe tushakuelewa
Ilikuwa magomeni kota karibia na shule pia me mwenyewe nilishangaa sana kwanini iwe mapema kiasi hicho kupiga doria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom