Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,390
- 100,511
Usichanganye Polisi jamii na Sungusungu. Waliokukamata wewe ni polisi jamii na siyo sungsungu. Sungusungu huwa wanadeal na wezi, na wakikukamata haufungwi pingu ila unafungwa kamba halafu unaanza kutembezwa mitaani huku wanaimba nyimbo zao. Kama uliona kwenye maazimisho ya juzi yale hayakuwa maigizo, hivo ndo hufanya. Na mwizi anakuwa mbele kabisa huku amebeba mzigo alioiba na pia wanakuwa wamempaka tope mwili mzima ili usikilizie maumivu vizuri.Habari wakuu
Kweli nimeamini ijumaa 13 siyo siku nzuri kabisa, inshu ipo hivi, jana mida ya jioni hivi nilikua nina nilikua na miadi ya kukutana na demu wangu na kweli ilikua hivyo kwani tulianza kuwasiliana mida ya jioni ili tumeet
Kwakifupi niliweza kukutana na shemeji yenu mida ya saa 1 ucku asa ikabidi tutafute eneo ili tuongee mawili matatu theni mambo mengine yafuate
Hatujaanzanza hata kuongea nashangaa tumezingilwa na njemba kama tatu na zikajitambulisha kuwa ni askari
Baada yahapo wakuu tukaanza kuhojiwa eti nyinyi mnaajenda gani yani nimtu na nani yake
Tulivyosema niwapenzi mara nikashaanga natiwa pingu na ilikua ni kwamara ya kwanza kuvalishwa yale madude asee
Mara ooh twendeni kituo cha police lakini iliwalazimu wazungukie maeneo mengine na wakafanikiwa kuwakamata watu wengine kama wawili na wao walikua kila mtu na mpenzi wake
Hatmae wale jamaa walifanikiwa kutukusnya watu kama sita yaan wasichana 3 na wavulana 3
Tukawa tunaelekea police, njiani sasa wakaanza ooh mmejipangaje ili tuweze kuyamaliza kwa bahati nzuri nilitembea na kaa 10000 ila jamaa wakasema tunaenda kumalizana police
Hatimaye tukaswekwa sero wakuu na ilikua ni kwa mara yakwanza kuingia mle, tulikuta kunanuka mikojo sana na kuna joto balaa.
Hatimaye baada ya nusu saa nikatoka na nilitoka kwa ajiri yakile ki10000 nilichokua nacho pia yule binti niliyekuwa naye pia akatolewa na kuruhusiwa kuondoka nyumbani
Doooh sungusungu siyo watu wazuri kabisa wapo kimaslahi hawa jaamaa, bila kale kaelfu kumi nilikua nakesha sero.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamjamuelewa uyo, itakua alienda kununua papuchi maeneo ya kinondoni au buguruni eti sungusungu, itakua polisi jamii hao wamemdaka tena siyo peke yake na wengine kama sita nao wamedakwa watakua wauza papuchi na wanunuaji hao.Wewe kuna kitu umeruka hujaeleza yote yaliyotokea sungusungu saa 1, ni maeneo gani hayo? Tena mnaongea hayo hayakua maongezi ya kawaida, ila kwa sisi wakongwe tushakuelewa
Aseme alienda mitaa ya kuuzwa papuchi wakadakwa maana bakuwa pekeyake kuna wengine sita pia walidakwa
Mlikamatwa wengi mlikua mnanunua papuchi saa moja usiku, hao ni askari mgambo siyo sungusungu haoAmini hivyo mkuu, demu naye nilimuomba aje kwangu akagoma katukatu ikabidi nimfuate c unajua ukipenda tena, matokeo yake sasa hela yangu imeenda bure na ikumbukwe kuna wengine tena waliwakamata na tukaungana nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Mkuu inawezekana kwa wakati huo jamaa hakuwa akijiamin baada ya kufikiwa na huo Ugeni sehemu waliyokuwa, naamin kabisa huyu Baharia alikuwa sehemu yenye ukakasi kidogo.unataka kusema jamaa ana mwonekano wa kiteja sio,,?
Powa mkuu nitafanya hivyoHutakiwi kukosa mbinu za kumvuta mkuu,
Pigana hadi umpate,mpe uongo wotee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu njiani kabisa yaaniHapana Mkuu inawezekana kwa wakati huo jamaa hakuwa akijiamin baada ya kufikiwa na huo Ugeni sehemu waliyokuwa, naamin kabisa huyu Baharia alikuwa sehemu yenye ukakasi kidogo.
Basi ulionewa
[emoji16][emoji16][emoji16] huko mbali mbona mkuu, wala hatukufikia hatua hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umdanganye nani?
Ni kwamba ulipokutana na demu wako mkakaa kwenye kichochoro, Mara akaanza kukupapasa, kidogo, shetani akapita akitokea bar muda ya saa 3 usiku, mkalana mate, ukaanza kazi, ukiwa kazini, pale pale sungu sungu wakaoita, wakawakamata basiii endelea.......
Kabisa mkuu halafu mtoto wawatu chakula kwao kumbe cha manati kwani tulivyotoka muda ule wa saa3 akaanza kunambia daah nitakuta nyumbani washakula.Basi ulionewa
Kweli mkuu wale jamaa wakishaona mifuko imedoda wanaamua kutafutia watu sababu uli wapate japo kitu c unajua tarehe mbaya hiziMlikamatwa wengi mlikua mnanunua papuchi saa moja usiku, hao ni askari mgambo siyo sungusungu hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Cna tabia hiyo mkuu chamuhimu elewa hicho nilichokiwakilishaAseme alienda mitaa ya kuuzwa papuchi wakadakwa maana bakuwa pekeyake kuna wengine sita pia walidakwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu usinipoze machungu kwanamna hiyoHamjamuelewa uyo, itakua alienda kununua papuchi maeneo ya kinondoni au buguruni eti sungusungu, itakua polisi jamii hao wamemdaka tena siyo peke yake na wengine kama sita nao wamedakwa watakua wauza papuchi na wanunuaji hao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu njiani kabisa nashangaa tunazingilwa then pingu zikafuataUmekutwa kichochoroni?
Kwa maelezo ya mwenzangu alisema hawa ni sungusungu ila inawezekana kweli wale ni askari socialUsichanganye Polisi jamii na Sungusungu. Waliokukamata wewe ni polisi jamii na siyo sungsungu. Sungusungu huwa wanadeal na wezi, na wakikukamata haufungwi pingu ila unafungwa kamba halafu unaanza kutembezwa mitaani huku wanaimba nyimbo zao. Kama uliona kwenye maazimisho ya juzi yale hayakuwa maigizo, hivo ndo hufanya. Na mwizi anakuwa mbele kabisa huku amebeba mzigo alioiba na pia wanakuwa wamempaka tope mwili mzima ili usikilizie maumivu vizuri.
Ahasante kwa ushauri wako mkuu, TALA mbona cwajui nawackia tuu mtandaoniBasi nakuambia hivi Mkuu kwanza pole, pili UKOME, next time tafuta maeneo ROMANTIC kwa ajili ya usalama wako na shemeji yetu..dah yaan man 10 wamechukua na pingu umefungwa na ndani wamekusweka na mtoto mzuri alafu bado akarudi na njaa! Au ulikopa TALA?