Sungu sungu wanikoseha uroda

Sungu sungu wanikoseha uroda

Sungusungu wehu sana kuna siku wangenipa kesi ya matumizi mabaya ya silaha, siku hiyo narudi home saa 8 usiku wananisimamisha wakati nipo kwenye gari, siku simama wala kuongeza mwendo, wakawa wananifata nyuma, nafika home kabla sijashuka kufungua geti, nao wamefikia na mapanga yao, nikatoa silaha, nikaiweka sawa, walipoona sijui hata walipotelea wapi... Hahahahahah ila tayari nishajiandaa kwa kesi. Wangepata habari yao
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] njaa mbaya sana walitaka wapate japo buku la andazi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zamani sana nimesimama na mwanafunzi kichochoroni tunaromance ghafla nastukia mwanga wa kurunzi lile la bati! laahaula nilisahau hata baiskeli yangu palepale..
 
zamani sana nimesimama na mwanafunzi kichochoroni tunaromance ghafla nastukia mwanga wa kurunzi lile la bati! laahaula nilisahau hata baiskeli yangu palepale..
Mkuu kama nakuona vile ulivyotoka mbio huku ukisema mguu vunjika kama nilikukosea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana... Ina kuna taarifa utakua umeziruka hapo...

Inawezekana ulikutwa ukiwa una pima oil...



Cc: mahondaw
[emoji16][emoji16][emoji16] hapana mkuu ila tulipozunguka kwa nyuma ya lile eneo kweli jamaa alikutwa kabananisha demu kwenye ukuta, walipo wakamata yeye na demu wakawa wanawaka balaa ikabidi wampige pingu yule jamaa akatulia kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichanganye Polisi jamii na Sungusungu. Waliokukamata wewe ni polisi jamii na siyo sungsungu. Sungusungu huwa wanadeal na wezi, na wakikukamata haufungwi pingu ila unafungwa kamba halafu unaanza kutembezwa mitaani huku wanaimba nyimbo zao. Kama uliona kwenye maazimisho ya juzi yale hayakuwa maigizo, hivo ndo hufanya. Na mwizi anakuwa mbele kabisa huku amebeba mzigo alioiba na pia wanakuwa wamempaka tope mwili mzima ili usikilizie maumivu vizuri.
Pia Sungusungu wakigundua si mharifu unaweza wageuza kuwa walinzi wako wakakusindikiza mpaka nyumbani.

Lazima uwe muungwana ikiwezekana hata kama ni elfu mbili wewe wape tu.

Hizi polisi jamii,Sungusungu ni rahisi sana kudeal nazo sema ukitoka umeweka vyombo huko unajikuta unaleta ubabe mavi na wenyewe hawapendi dharau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom