Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 23,967
- 42,206
Kaka nitakucheki ila usinitangaze maana wewe nakujua ukilewaKaka kuna watu wanapiga pesa humu na hawana kelele 😁 wewe weka namba uokote😁

AMINASikatai mkuu endelea kuniombea nipige pesa zaidi
Lazima nitangaze nikilewa kama sasa hivi mkuu😄😄 pombe haitaki unafki wa kijinga ,hii kitu ni utakasoo mkuu😁Kaka nitakucheki ila usinitangaze maana wewe nakujua ukilewa
Hata asipo bariki najibariki😊AMINA
MUNGU AKUBARIKI SANA ufanikiwe
Kaka ,hakuna cha majira hapa. jitambue .Umeanza sasa tena yaan wewe ni kama saa mbovu Kuna mda inapatia majira Kuna mda inasoma inavyo jua yenyewe To yeye nakuachia mtu tawako
Hiyo picha ya mke wako nzuri mkuu anafaa kwa matumiziHapo zamani za kale, msichana mrembo alichoka na maisha yake ya ndoa na alitaka kumuua mume wake.
Siku moja asubuhi alikimbilia kwa mama yake na kumwambia:
"Mama, nimechoka na mume wangu, siwezi kuvumilia upuuzi wake tena. Nataka kumuua lakini ninaogopa sheria ya nchi itanihukumu. Tafadhali, unaweza kunisaidia mama?"
Mama yake alijibu:
"Ndiyo binti yangu, naweza kukusaidia, lakini kuna kazi ndogo unayopaswa kufanya."
Binti akasema: "Kazi gani? Niko tayari kufanya lolote ilimradi nimpate mume wangu aondoke."
Mama akasema:
1. Lazima uishi naye kwa amani ili watu wasikushuku wakati atakapokufa.
2. Lazima ujipambe na ujitunze ili uonekane mrembo na mwenye mvuto kwake.
3. Lazima umtunze vizuri, uwe mwema kwake na umshukuru kwa kila jambo.
4. Lazima uwe mvumilivu, mwenye upendo, usiwe na wivu kupita kiasi, uwe msikivu, na uwe mnyenyekevu kwake.
5. Tumia pesa zako kumsaidia na usikasirike hata kama hatakupa pesa.
6. Usimpigie kelele, badala yake himiza amani na upendo ili usitiliwe shaka baada ya kifo chake.
"Je, unaweza kufanya haya yote?" Mama aliuliza.
"Ndiyo naweza," binti alijibu kwa msisitizo.
"Sawa," mama akasema.
"Chukua unga huu na uweke kiasi kidogo kwenye chakula chake kila siku, itamuua taratibu."
Baada ya siku 30, binti alirudi kwa mama yake akiwa na huzuni na kusema:
"Mama, sina nia ya kumuua mume wangu tena. Sasa hivi nimeanza kumpenda sana kwa sababu amebadilika kabisa, sasa ni mume mzuri zaidi ya nilivyowahi kufikiria. Naweza kufanya nini kuzuia sumu hii isiendelee kumuua? Tafadhali nisaidie mama!"
Mama alitabasamu na kumwambia:
"Usijali, binti yangu. Kile nilichokupa siku ile kilikuwa tu ni unga wa manjano (Tumeric Powder). Hakitamuua kamwe."
"Kwa kweli, wewe ndiye ulikuwa sumu iliyokuwa inamuua mume wako taratibu kwa msongo wa mawazo na kutokumjali."
"Lakini ulipoanza kumpenda, kumheshimu, na kumthamini, ulimwokoa.
Inapendeza kama umegundua hilo...Tunatatizo la...
Kamdomo kamdomo kamdomo 🙄
Na wanaume kwa dharau🙌
Tunatatizo la...
Kamdomo kamdomo kamdomo 🙄
Na wanaume kwa dharau🙌
Nyama zote hizo mtu mmoja!Hapo zamani za kale, msichana mrembo alichoka na maisha yake ya ndoa na alitaka kumuua mume wake.
Siku moja asubuhi alikimbilia kwa mama yake na kumwambia:
"Mama, nimechoka na mume wangu, siwezi kuvumilia upuuzi wake tena. Nataka kumuua lakini ninaogopa sheria ya nchi itanihukumu. Tafadhali, unaweza kunisaidia mama?"
Mama yake alijibu:
"Ndiyo binti yangu, naweza kukusaidia, lakini kuna kazi ndogo unayopaswa kufanya."
Binti akasema: "Kazi gani? Niko tayari kufanya lolote ilimradi nimpate mume wangu aondoke."
Mama akasema:
1. Lazima uishi naye kwa amani ili watu wasikushuku wakati atakapokufa.
2. Lazima ujipambe na ujitunze ili uonekane mrembo na mwenye mvuto kwake.
3. Lazima umtunze vizuri, uwe mwema kwake na umshukuru kwa kila jambo.
4. Lazima uwe mvumilivu, mwenye upendo, usiwe na wivu kupita kiasi, uwe msikivu, na uwe mnyenyekevu kwake.
5. Tumia pesa zako kumsaidia na usikasirike hata kama hatakupa pesa.
6. Usimpigie kelele, badala yake himiza amani na upendo ili usitiliwe shaka baada ya kifo chake.
"Je, unaweza kufanya haya yote?" Mama aliuliza.
"Ndiyo naweza," binti alijibu kwa msisitizo.
"Sawa," mama akasema.
"Chukua unga huu na uweke kiasi kidogo kwenye chakula chake kila siku, itamuua taratibu."
Baada ya siku 30, binti alirudi kwa mama yake akiwa na huzuni na kusema:
"Mama, sina nia ya kumuua mume wangu tena. Sasa hivi nimeanza kumpenda sana kwa sababu amebadilika kabisa, sasa ni mume mzuri zaidi ya nilivyowahi kufikiria. Naweza kufanya nini kuzuia sumu hii isiendelee kumuua? Tafadhali nisaidie mama!"
Mama alitabasamu na kumwambia:
"Usijali, binti yangu. Kile nilichokupa siku ile kilikuwa tu ni unga wa manjano (Tumeric Powder). Hakitamuua kamwe."
"Kwa kweli, wewe ndiye ulikuwa sumu iliyokuwa inamuua mume wako taratibu kwa msongo wa mawazo na kutokumjali."
"Lakini ulipoanza kumpenda, kumheshimu, na kumthamini, ulimwokoa.
bravoHapo zamani za kale, msichana mrembo alichoka na maisha yake ya ndoa na alitaka kumuua mume wake.