Sumu inayowaua wanaume

Sumu inayowaua wanaume

Kisa kizuri ila nimewaza kama mama asingekuwa na busara mwanaume angepotezwa kwenye nyuso ya dunia

Daah...ila ndoa
Hapo ni mtunzi wa el-hadith ndiye mwamba aliyetulia na kutumia mbongo kuwafundisha waja.Mola aturehemu sana.Aiiiimiiin!
 
Na wewe una angalia na WA kupenda sasa

Wewe fikiria umempenda kijana kama min -me mda wote mdomo una Nuka viroba tu, Kuna ndoa kweli hapo?
Kaka pombe zangu ni kamtaji kako ,😁😁 weka namba uokote master ,usione aibu😄😄
 
Back
Top Bottom