Sijui alikuwa wapi muda wote huo. Anavyowajibu ni short and clear.
Sumaye ndo mzee wa nondo
Sumaye ndo mzee wa nondo
CCM kuna watu kama Sumaye wangapi?
Damu ya Waislamu wasio na hatia waliouawa kule Zanzibar na serikali yake bado inamlilia. Inasemekana yeye kama Waziri Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Serikali ndiye alitoa amri.
tenda ya kuuzwa hilo shamba ilitangazwa wapi na mlishindanishwa na wanunuzi wengine kina nani na lini?
Sumaye kamataja Kinana kwamba ni muuza meno ya Tembo ?? achana na hili la escorow maana liko wazi familia ya raisi inahusika kwa 75%
CCM hizi siasa zenu za kuchafuana shauri zenu ,ila pasuaneni kwanza nyie viongozi sisi wananchi tunawaangalia tu october 25 tutafanya maamuzi sahihi
Umeongea kwa uchungu ila mwishoni imenibidi nicheke sana! !!!Safi sana Sumaye. Wamekomaa na richmond wakati kuna kashfa nyingi za ubadhrifu wa mali ya umma,ikiwemo Escrow,EPA,Meremeta,Deep Green,Tangold,madawa feki,ujangili,usafirishaji wa wanyama hai. Kwa upande mwingine wananchi wakilia na umaskini,Rushwa,huduma mbovu za kijamii kama elimu,maji na umeme. Waendelee kuwavuruga wapinzani kwa kuwahonga mihela utadhani akina Slaa,Lipumba nk ndio wapiga kura. Wajifariji tu,labda vyama vyote vinavyoundwa UKAWA mvifute ktk orodha ya vyama vya siasa,tutapigia hata jiwe.....ama kinyesi.
Ccm wanayataka wao kwani ukawa walishasema kuwa watafanya kampeni za kistaarabu na wala sijawasikia wakimzungumzia mtu ijapo wanajua uchafu mwingi wa viongozi Sasa kwani wao hawana mioyo? hata hivyo kila mtu anajua hilo la kikwete na kikwete kusema atafurahi kuona nchi inaongozwa na magufuli ili akalinde wiki wake kwani anamwogopa Edo
Wewe ni mpotoshaji amesema'' nikweli nina shamba nilinunua Morogoro kwa pesa za kiinua mgogongo sina pesa za kuwekeza kwenye magorofa na miradi mikubwa , wanasema et kufuga ng'ombe nako ni ufisadi au mlitaka tuue tembo kama kinana au tukwapue pesa za escrow kama familia ya kikwete ndio muone sisi ni wadilifu?''Sumaye.
"Mimi ni mkweli sana, ni kweli nina shamba langu Morogoro nimelinunua kwa kiinua mgongo changu.
Mimi sikutaka kuwekeza kwenye majumba kwa kuwa nilikuwa sina pesa nyingi za kununua magorofa ndio maana nikaamua kuwa mkulima"
Magufuli kawaambia huko Morogoro mijizi yote inayohodhi ardhi iliyopata kiuwizi dawa yao ipo jikoni,ikiwa pamoja na Mr Zerotenda ya kuuzwa hilo shamba ilitangazwa wapi na mlishindanishwa na wanunuzi wengine kina nani na lini?