Sumaye: Nilipojaza fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na kulipa tsh 1,000,000 ndipo nilipoanza kushambuliwa

Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye anasema alikwenda Chadema ili kuwafundisha namna ya kuendesha serikali endapo kuna siku itatwaa madaraka.

Sumaye anasema alipogundua kwamba Chadema hakuna namna wataweza kutwaa madaraka na wamepungukiwa sana demokrasia aliamua kuachana nao.

Zaidi Sumaye anasema alipochukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema taifa na kulipia gharama za fomu tsh 1,000,000 ndipo nongwa ilipoanza kwa sababu tu ilitakiwa Freeman Mbowe asipingwe.

Source: Medani za Siasa Star tv
Sawa mganga njaa
 
sasa huyu jamaa ana shule ya kuongoza serikali? kama angekuwa mjuzi wa uongozi, si angeibadili Tanganyika zama zake?
 
Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye anasema alikwenda Chadema ili kuwafundisha namna ya kuendesha serikali endapo kuna siku itatwaa madaraka.

Sumaye anasema alipogundua kwamba Chadema hakuna namna wataweza kutwaa madaraka na wamepungukiwa sana demokrasia aliamua kuachana nao.

Zaidi Sumaye anasema alipochukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema taifa na kulipia gharama za fomu tsh 1,000,000 ndipo nongwa ilipoanza kwa sababu tu ilitakiwa Freeman Mbowe asipingwe.

Source: Medani za Siasa Star tv
Hivi yale mashamba yake ya Morogoro aliyonyang'anywa na Magufuli alirejeshewa ?
 
Chadema ni chama cha kidekteta ,chama cha wachaga ukiona mtu ana shabikia sio mchaga ujue ni zwazwa tunahitaji chama kingine cha upinzani kitakacho unganisja kanda zote

Mi chadema hata usimamishe na mbuzi mgombea wa chadema nachagua mbuzi wachaga ni wabaguzi kujiona wanajua kila kitu
 
Wala hakua na haja ya kulalamika. Aliporudi CCM angeenda kuchukua fomu ya kugombea Uwenyekiti wa Chama hicho Taifa na pengine wangempa tu hata bure maana demokrasia ni kubwa kule kuliko upinzani
Nukta. Usiongeze kitu.
Anataka kutuambia alipoutaka urais kupitia CCM na jina lake kutupiliwa jalalani ndio ilikua demokrasia. Sawa aendelee na chama chenye demokrasia ili asinyanganywe mashamba.
Ukweli Ni kwamba kilichomrudisha CCM Ni kijana wa kihehe kutaka kutaifisha mashamba aliyohodhi huku wananchi wa sehemu husika hawana ardhi ya kutosha.
Kula makongoro hakumuachi mlaji salama.
 
Chadema ni chama cha kidekteta ,chama cha wachaga ukiona mtu ana shabikia sio mchaga ujue ni zwazwa tunahitaji chama kingine cha upinzani kitakacho unganisja kanda zote

Mi chadema hata usimamishe na mbuzi mgombea wa chadema nachagua mbuzi wachaga ni wabaguzi kujiona wanajua kila kitu

Hicho chama chenu ambacho sio cha Wachagga kinangoja nini ili kuanzishwa? Au kitakuwa chama dhaifu sana ndio maana kinasubiri cdm kifanyiziwe na dola ndio kianze?

Tiss wanampango wa kuanzisha chama kingine cha upinzani mbadala wa cdm, ambacho kitafanya siasa kwa utashi wa ccm. Ongea nao ww ndio uwe mwenyekiti wa hicho chama dhaifu.
 
Chadema ni chama cha kidekteta ,chama cha wachaga ukiona mtu ana shabikia sio mchaga ujue ni zwazwa tunahitaji chama kingine cha upinzani kitakacho unganisja kanda zote

Mi chadema hata usimamishe na mbuzi mgombea wa chadema nachagua mbuzi wachaga ni wabaguzi kujiona wanajua kila kitu
Mbuzi wana umoja sana, ni lazima wachaguane.
 
🤣🤣
Mh.Sumaye banaa....

Eti "sumu haionjwi".....

Ila pamoja na yote.....mzee wetu mh.Sumaye alipata "kusemwa kdogo" na hayati Rais Ben Mkapa kwa " kuwa waziri mkuu kwa miaka 10" na baadaye kuanza KULALAMA akiwa nje ya uongozi.....🤣

Ninakumbuka vyema ile "battle" yake uchaguzi wa CCM(UNEC) na mh.Mama Mary Nagu kule Hanang.....🤣🤣

My take:

Ni ngumu mtu kuwa PM halafu akaja kuwa Rais....hivi PM anawezaje kujitofautisha(kwa mafanikio/changamoto) na Rais wake?!!!!

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye anasema alikwenda Chadema ili kuwafundisha namna ya kuendesha serikali endapo kuna siku itatwaa madaraka.

Sumaye anasema alipogundua kwamba Chadema hakuna namna wataweza kutwaa madaraka na wamepungukiwa sana demokrasia aliamua kuachana nao.

Zaidi Sumaye anasema alipochukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema taifa na kulipia gharama za fomu tsh 1,000,000 ndipo nongwa ilipoanza kwa sababu tu ilitakiwa Freeman Mbowe asipingwe.

Source: Medani za Siasa Star tv
Njaa mbaya sana sana, ndio maana alikua akiitwa Mr Zero
 
Chadema ni chama cha kidekteta ,chama cha wachaga ukiona mtu ana shabikia sio mchaga ujue ni zwazwa tunahitaji chama kingine cha upinzani kitakacho unganisja kanda zote

Mi chadema hata usimamishe na mbuzi mgombea wa chadema nachagua mbuzi wachaga ni wabaguzi kujiona wanajua kila kitu
Duuh 😲😲😲😲
 
Back
Top Bottom