Sumaye: Nilipojaza fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na kulipa tsh 1,000,000 ndipo nilipoanza kushambuliwa

Sio kihivyo unavyodhani hao maccm wametapakaa kila kona kanda zote ndo maana wata tawala mda mrefu

Ukija CUF ni kandaza pwani na zanzibar

Chadema tunaowategemea ndo hao wanapigania haki za wachaga na hamna demokrasia wangapi wamehama wakina zitto muwe na akili huo ni mpango wa wachaga kutawala nchi na haitokuja tokea
Hicho chama chenu ambacho sio cha Wachagga kinangoja nini ili kuanzishwa? Au kitakuwa chama dhaifu sana ndio maana kinasubiri cdm kifanyiziwe na dola ndio kianze?

Tiss wanampango wa kuanzisha chama kingine cha upinzani mbadala wa cdm, ambacho kitafanya siasa kwa utashi wa ccm. Ongea nao ww ndio uwe mwenyekiti wa hicho chama dhaifu.
 
Mmmmh
Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye anasema alikwenda Chadema ili kuwafundisha namna ya kuendesha serikali endapo kuna siku itatwaa madaraka.

Sumaye anasema alipogundua kwamba Chadema hakuna namna wataweza kutwaa madaraka na wamepungukiwa sana demokrasia aliamua kuachana nao.

Zaidi Sumaye anasema alipochukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema taifa na kulipia gharama za fomu tsh 1,000,000 ndipo nongwa ilipoanza kwa sababu tu ilitakiwa Freeman Mbowe asipingwe.

Source: Medani za Siasa Star tv
 
Huyu nae atulie ,chadema sio chama Cha majaribio,
 
Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye anasema alikwenda Chadema ili kuwafundisha namna ya kuendesha serikali endapo kuna siku itatwaa madaraka.

Sumaye anasema alipogundua kwamba Chadema hakuna namna wataweza kutwaa madaraka na wamepungukiwa sana demokrasia aliamua kuachana nao.

Zaidi Sumaye anasema alipochukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema taifa na kulipia gharama za fomu tsh 1,000,000 ndipo nongwa ilipoanza kwa sababu tu ilitakiwa Freeman Mbowe asipingwe.

Source: Medani za Siasa Star tv
Huyu mzee asingewezana na magaidi ya mule saccos.. Bora alijitoa mapema.
 
Hili dingi linafurahi sana màgufool kura,hicho ndicho Ninacholikubalia kwa sasa
 
Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye anasema alikwenda Chadema ili kuwafundisha namna ya kuendesha serikali endapo kuna siku itatwaa madaraka.

Sumaye anasema alipogundua kwamba Chadema hakuna namna wataweza kutwaa madaraka na wamepungukiwa sana demokrasia aliamua kuachana nao.

Zaidi Sumaye anasema alipochukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema taifa na kulipia gharama za fomu tsh 1,000,000 ndipo nongwa ilipoanza kwa sababu tu ilitakiwa Freeman Mbowe asipingwe.

Source: Medani za Siasa Star tv
Walafi hawakosi sababu
 
Kumpinga Mbowe katika uenyekiti wake ilikuwa ni sawa na kupingana na uhai wako mwenyewe. Sumaye alishindwa kujifunza kupitia kwa Chacha Wangwe, Zito, Mwigamba na wengineo. Ni rahisi mtu kufika ulaya kwa kuogelea kuliko kumshinda Mbowe uenyekiti.

View attachment 1933936
Unajua kilichomtoa CCM ni mafia wa chama hicho walivyomzuia kugombea urais
Sidhani umesahau Hilo kwa bahati mbaya
 
Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye anasema alikwenda Chadema ili kuwafundisha namna ya kuendesha serikali endapo kuna siku itatwaa madaraka.

Sumaye anasema alipogundua kwamba Chadema hakuna namna wataweza kutwaa madaraka na wamepungukiwa sana demokrasia aliamua kuachana nao.

Source: Medani za Siasa Star tv
Hapo juu Sumaye mwenyew anasema sababu zilizomfanya atoke CCM kwenda Chadema ni kuwafundisha namna ya kuendesha serikali endapo kuna siku wangetwaa madaraka.
Unajua kilichomtoa CCM ni mafia wa chama hicho walivyomzuia kugombea urais
Sidhani umesahau Hilo kwa bahati mbaya
Hapa chini wewe unasema kilichomtoa CCM ni mafia wa chama waliomzuia kugombea. Sasa kiakili unategemea mtu mwenye akili atafata propaganda zako ulizolishwa na wenzako au atafata yale yalioongewa na muhusika mwenyewe? Kweli viongozi wenu wameshaharibu akili zenu!
 
Back
Top Bottom