Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,935
- 6,844
You are right mkuu kwa hiyo tatizo si Sumaye ni sheria zilizopo regarding privileges za viongozi na viongozi wastaafu. Kinacho takiwa kurekebishwa ni sheria. Hizi privileges na entitlements zao zote ziwekwe wazi kwa jamii na zilizo za kifisadi au ambazo haziendani na uwezo wetu zirekebishwe/zifutwe. The problem siyo Sumaye kwenda nje because viongozi wote wastaafu hufanya hivyo, tatizo narudia ni sheria zilizopo. As long as sheria zipo na mtu akifanya kazi within the boundaries of that law tuta lalamika mpaka kesho. Cha kufanya ni sheria ibadilishwe ili kama ni Sumaye or hueva wasi tumie pesa kama wanavyo tumia sasa.
Hapana, Mkuu. Bila kupiga kelele hizo sheria hazitobadilishwa. Ni muhimu kulalamika kwa kadri ya uwezo. Pengine wahusika wataona aibu na kuanza kuwaonea huruma wananchi wao.
Madiba alipokwaa urais bunge lake likampitishia mshahara wa ajabu sana. Mzee hakusema kitu. Lakini alipoamka Desmond Tutu na kusema mshahara ule haukustahili katika nchi kama ile, bai Madiba akaukataa na kuelekeza upunguzwe!
Hawa wenzetu nao wakisema kuwa hawataki kwenda nje kwa check-up ( hawalazimiki kwenda huko) basi hao wanaojipendekeza itabidi wabadilishe haya mafao dhalimu!
Amandla.........
Fundi Utumbo a.k.a Uwiano Usio Maalum