Sumaye ndani ya Uingereza!

Status
Not open for further replies.
Mkuu Kanda2, "medical check up" haimaanishi kwamba mtu anaefanyiwa ni mgonjwa. Haswa kwa viongozi wetu, wapo entitled kwa medical check up nje ya nchi. Kwa kifupi ni kucheki hali ya afya yako sio kusubiri hadi ukiwa mgonjwa.

What a man does in his spare time after the medical check up is none of our business, kwani hayupo answerable kwetu. Habari ndio hiyoo!

Una hakika kuwa hiyo entitlement iko kwenye job descriptions zao? Kama ni kweli, basi tusishangae kuwa hospitali zetu hazipewi mahitaji ya lazima kutibu kwani kila waziri anategemea hospitali nje!?!
 
Hi Wana JF, have just joined in as a new member. Nategemea kujifunza mengi na kuchangia pia. Big up to all JF members.
 
sumaye alikuja kuangalia afya yake .na hayo maubiri aliombwa kuuuzuria na watanzania waishio uk.na wala hakupanda gari .alipanda train ambayo ni £20 tu kwenda reading na kurudi london.tena sio first class bali third class.sasa kosa lake liko wapi.mnaacha kuangaika na michuzi anayetumia hela zenu vikesheni mnamfuata sumaye alikwenda kutibiwa akaenda na kwenye mahubiri hata hayo maubiri ni tiba pia.badala mshukuru anamuomba mungu na huenda akamjalia akawa na afya njema ,hivyo hatatumia hela za wadau kwa matibabu tena.mnalamika.fungueni macho.
Mwanajamii wenu,
susu
london,uk.

wewe unasema ni pounds 20 tu, wenzako wenye uchungu na nchi wanamtimua mbunge frank cook wa chama cha labour kwa kutumia pounds £ 5 sawa na elfu nane ya tanzania kwa ajili ya kuchangia kanisa.

Hawa waingereza ni wafadhili wa bajeti ya serikali yetu na wametuacha mbali sana kimaendeleo.lakini bado wanafuatilia pounds tano .wewe unasema £20 tu,soma gazeti hili la the sunday telegraph au www,teleghaph.co.uk.

Kiongozi wa chama bungeni anahojiwa kwa kununua chocolate ukisikia kuwajibika ndio huko.

Katika kujadili matumizi mabaya ya pesa za serikali kama anavyofanya sumaye.tayari wabunge 12 wameachia ngazi kwenye bunge la uingereza.

Mko ulaya hamjifunzi? Kwanini utetee ufisadi kiasi hiki? Una faida gani kuishi nje na ukashindwa kujifunza accountability.
 
In short mkuu fanya research of what a current & retired government official is entitled to by law. Ukisha fanya your research njoo utuambie ni nini kafanyiwa au kafanya kinyume na sheria.
1.Ubalozi wowote wa Tanzania upo kuhudumia wananchi wake. Yeye kama kiongozi mstaafu alistahili kupewa gari la kutumia. Mbona hata nyumbani viongozi wetu wastaafu wanapewa misafara na ulinzi? That is something Sumaye will have for life.

2.Kila mtu ana imani yake na ana haki ya kui hubiri. Kwani mzee Mwinyi akitoka nje ya Tanzania aka amua kuhubiria Uislamu ata katazwa? Hiyo ya kuhubiri dini siyo neno as long as haja vunja sheria.

3.Huko unako dai kuzurura we ulitaka afanyeje muda wote? Hata ingekua wewe ungekaa hospitali 24/7. Tuwe na ubinadamu kidogo. Hata ingekua wewe unge tembea tembea. Kaenda kwenye check-up which means siyo lazima kuwa anaumwa bali ni kuangaliwa. Hata angekua anaumwa kama mtu ana sikia unafuu kwa nini asi tembee.

4.Utam linganishaje mbunge na waziri mkuu mstaafu? Mwakyembe ni mbunge which means ana privilege chache zaidi ya waziri mkuu/waziri mkuu mstaafu. Hata kimahesabu it makes sense, wabunge ni wengi kuliko mawaziri wakuu wastaafu kwa hiyo gharamu za kuwapa wabunge fulani ukiamua kuwapa wote ni kubwa kuliko kuwapa mawaziri wakuu wastaafu.

5.Kama nilivyo sema awali kuna privileges mtu anapewa kutokana na cheo alicho nacho au alicho kua nacho. Mafao haya lingani kwa kila mtu. Useme labda mafao ni makubwa kwa viongozi basi yapunguzwe kwa kurekebisha sheria iliyopo ila ukumbuke aliye juu aki punguziwa basi na aliye chini nae ata punguziwa. This would mean watu uta wabania pension zao na tayari ni hovyo as it is. I suggest you do your research well ukija jamvini unatupa something not just concrete but logical also. Siyo kulalamika tu just because mtu alikua kiongozi basi ukadhani kila utakacho msema watu wataku support.

Mbunge Frank Cook wa chama cha Labour uingereza anahojiwa kwa kutoa pounds tano kwenye kanisa kama mchango.uingereza ni nchi ya kikristu bado wanamuhoji mbunge kwa mchango wake wa pound tano kanisani.SUMAYE na waingereza nani anaujua ukristu zaidi? haitakiwi kutumia kigezo cha dini kuhujumu kodi za nchi au jasho la walipa kodi.mimi ningehoji sumaye katumia pounds tano mngekuja juu na kuaanza kulalamika kuwa THIS IS TO LOW HATA PAOUNDS TANO MNAHOJI?kuna kitu na SUMAYE.
 
Kikwete, Pinda, Lukuvi na viongozi wengine ambao wana madaraka ya maamuzi kwa sasa hebu mtizameni huyo mama! Hawa ndio wenye uwezo wa kusaidia hapa.

Huyu kanda2 ana issue fulani na Sumaye.

Data za gharama za safari za Vasco da Gama vipi?
Tumeanza na Sumaye ambaye anaiba kwa kutumia jina la kanisa.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom