Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,538
Lakini badala ya kuwa hospitalini amekuwa akizurura kwenye miji ya uingereza kuhubiri dini.
wapo wanaotumia jina la uislam kwenye siasa nawapo wanaotumia jina la ukristo kwenye siasa .....
labda niseme kitu kimoja kwa mana kidogo kwenye sekta ya uislam nashkuru nimejisogeza mbele kidogo...
watu wa aina hiini wanafiki uislam unaruhusu uhuru wa kuabudu na kwa upande wa siasa uislam hauendani na sheria za kibinadamu ambazo binadamu hujipangia anavyotaka sawa kinababa...mfano serikali huruhusu pombe bora kodi ...hili kwetu uislamuni hakuna.
SURA2.
256. Let there be no compulsion in religion: Truth stands out clear from Error: whoever rejects evil and believes in Allah hath grasped the most trustworthy hand-hold, that never breaks. And Allah heareth and knoweth all things.
kwa wale wanatumia jina la uislam kwenye siasa sorry hatupo huko acheni unafiki nyinyi pia ni wezi tuuu.....kama ni waislamu kweli basi ....nendeni kwa msajili wa chama kukasajili chama cha kiislamu....
tunapenda wanaotaka haki nauadilifu baina ya pande zote za watanzania bila ya kuwa na ubaguzi wainayoyote...na tumpinge vikali yoyote anaeleta ubaguzi waina yoyote na dhuluma ya raia wanyonge. Ufisadi
...am not CCM.ninavyoona mtandao ulivyo...Sumaye hana ubavu kuchukua fomu sasa kupambana na JK...ask him to try!!!mwambie...majungu kama haya ndio sehemu ya majungu ya uwongo waliokuwa wakipikwa salim ,malecela na sumaye ..kwa ajili ya urais.....sasa mnajuwa ,alecela na salim umri umeenda......mnaanza kumpachika sumaye madongo ...mnaogopa anachukua fomu 2010.....afteral sio siri kuwa SUMAYE could have perfomed better as a president kuliko huyu ze comedy..,jkwalker..
leave sumaye along !!
...am not CCM.ninavyoona mtandao ulivyo...Sumaye hana ubavu kuchukua fomu sasa kupambana na JK...ask him to try!!!
....... ninvyokumbuka alisema yeye siasa basi anakwenda kulima kwani ndio proffessional yake....kama kabili ok...tumpe nafasi...!!!..kuna tetesi kuwa ardhi kuanzia Kisarawe inayounganisha Kibaha amechukua yeye...mwenye data zaid anaweza weka....kama Kweli basi Sumaye atujuze amelitumiaje hilo pori!!!!
Kama yeye ana mission ya U-Rais kwanini asianze kuwa mfano wa kuigwa wa kuchekiwa Home TZ?... unavyomlalamikia JK kusafiri...dont u see this is part of it?...kwa nauli yake tu vinaweza nunuliwa baadhi ya vifaa vya kuanzia... i do believe kama Kiongozi mpenda wananchi wake...anaweza fanyiwa check hapa hapa tz....na unaweza kuwa mwanzo wa viongozi wengine kuchekiwa hapa. Kwenda zake Nje hakuna tofauti na Misafara ya JK....kama kuna Viongozi wengne wanakwenda..nao pia waache tabia hio....
kwa utaratibu huu tusiwalaumu Madaktari wetu kutokomea NJE kutafuta maisha yao.
Kwa Jinsi nilivyosema post mbalimbali humu JF...people are not serious kuupiga vita Ufisadi...Kumbe tuna majina ya Viongozi ambao wapo Nje ya cicle ya utawala....ambao nao pia ni Mafisadi!!!
Kuna mtu kazungumzia kuhusu miaka 48 ya uhuru na bado tunapeleka viongozi kwenda kuangaliwa afya zao kwa watawala wetu. Mimi naona mtindo huu kuwa mwendelezo wa ujinga wa Mwafrika na ni ushahidi tosha kuwa Miafrika haiwezi kujitegemea yenyewe.
Kila siku tunapokea misaada kutoka kwa wazungu. Hiyo misaada inasaidia nini hasa na inamsaidia nani maana maisha tunayoishi sisi Miafrika na kusikitisha. Najiuliza hapa tusipopata hiyo misaada maisha yetu yatakuwaje?
Tungekuwa na akili kama mnavyodai baadhi yenu basi mambo madogo madogo kama ya tiba na mengineyo tungekuwa tumeshayamudu zamani za kale. Mtu gani mwenye akili anaweza kuishi maisha kama waishio Waafrika? Tunajidanganya eti tuna rasilimali kibao tu za kutuletea maendeleo. Okay, sasa kwa nini tuko mafukara? Kwani tumewekwa hapa duniani jana? Tuko hapa duniani since the beginning of times (whenever that is) na tumeshindwa kuyamudu mazingira yetu na kuboresha maisha.
We are just a lost cause. Kuna nchi ngapi za Ulaya (supposedly) zisizo na rasilimali nyingi kama tulizonazo sisi lakini ukiangalia viwango vyao vya maendeleo vimetuacha kwa mbali tu.
Aaaaah sisi tuna matatizo kweli.
Narudia, tatizo si Sumaye tatizo ni sheria. Kama sheria zina upendeleo mno ni jukumu letu kulalamikia zibadilishwe ila tukianza kulalamikia mtu mmoja mmoja hatu fiki popote na wala haitokua solution permanent. Sheria na katiba ya nchi ni sheria na katiba ya nchi mpaka hapo itakapo badilishwa.
Basi wadau wenzangu inatosha mlichomwambia Kanda2, hapa ni kumwelimisha tu ili next time asije kuripoti mada kabla ya kuifanyia uchunguzi. Nakubaliana na hoja ya Msanii - ya kujadili ubora wa huduma zetu za afya kiasi kwamba viongozi (watunga sera) wanaogopa na kwenda kutibiwa nje "
. Hata hivyo hao viongozi hawawezi kukwepa lawama. Kama Zakumi alivyohoji, kwani lazima kwenda uingereza? Kwa nini wasiende Kenya, Afrika Kusini, Cuba au India? Na je, akisema kuwa yeye atafanyiwa check-up Muhimbili atachukuliwa hatua? Tunachodai ni empathy kwa upande wa viongozi wetu. Kitu ambacho kiko in short supply.
Amandla......
Huko kulalamika si lazima kuanzie mahala? Si lazima tuwe na mifano ya namna hizo sheria zinavyoweza kuwa abused? Sumaye hapa anatumika kama mfano wa hao wengine.
Hata hivyo hao viongozi hawawezi kukwepa lawama. Kama Zakumi alivyohoji, kwani lazima kwenda uingereza? Kwa nini wasiende Kenya, Afrika Kusini, Cuba au India? Na je, akisema kuwa yeye atafanyiwa check-up Muhimbili atachukuliwa hatua? Tunachodai ni empathy kwa upande wa viongozi wetu. Kitu ambacho kiko in short supply.
Amandla......
Thread hii haina akili, imekaa kimajungu na kidini.
Sheria za madini zilikuwa na mapungufu Mengi kiasi cha kuunda tume ya jaji Bomani kupitia mikataba yote ya madini.case study au chanzo chake ni mkataba mmoja tu wa machimbo ya BUZWAGI.kila kitu kina chanzo kwenye hili wa kwanza ni sumaye.Nakubaliana na wewe kuwa viongozi wetu wana takiwa kuwa mfano. Nakubaliana na wewe kuwa hizo safari za nje ziona gharama. Lakini tatizo siyo Sumaye tatizo ni sheria zilizopo. Cha kuangalia ni je Sumaye alicho fanya kavunja sheria? Privileges zote za waziri mkuu mstaafu ziko listed. Kama kuna tatizo basi sheria ndiyo ibadilishwe. Kuna mtu anakataa privilege anayo/aliyo pewa? Hata ingekua wewe mfano, kazi yako inakupa mafao fulani utaya kataa? Hakuna maana kum lalamikia Sumaye kwa maana ana tumia kilicho ainishwa na katiba yetu wenyewe. As long as kafanya kitu ndani ya katiba hata tulalamike vipi haja fanya kosa. Cha kufanya ni watu tuseme viongozi wetu au viongozi wetu wastaafu privileges fulani zipunguzwe au ziondolewe. Sawa a leader ana takiwa awe na moral conduct ya kukataa labda baadhi ya vitu. Akikataa sawa ni vyema ila asipo kataa hizo privileges bado haja vunja sheria.
Narudia, tatizo si Sumaye tatizo ni sheria. Kama sheria zina upendeleo mno ni jukumu letu kulalamikia zibadilishwe ila tukianza kulalamikia mtu mmoja mmoja hatu fiki popote na wala haitokua solution permanent. Sheria na katiba ya nchi ni sheria na katiba ya nchi mpaka hapo itakapo badilishwa.
..ni kweli kabisa pensheni wanazopata viongozi wakuu wastaafu ni kubwa mno.
..sasa imefikia mpaka Maraisi wastaafu wanajengewa majumba ya kifahari. tena wanakabidhiwa majumba hayo kuwa mali yao na familia zao.
..kama tumechochwa na ufujaji wa pesa za umma, kwa jina la mafao ya viongozi wakuu wastaafu, basi tuelekeze nguvu zetu ktk kusisitiza kwamba mafao hayo yarekebishwe kwa WASTAAFU WOTE. katika kufanya hivyo tuepuke ku-target watu fulani fulani kwa kusukumwa na imani za DINI.
sumaye sheria ya protocal hamruhusu kuzurura ovyo, kumfuatilia sio none of our business kwani anatumia kodi yetu lazima awe answerable kwetu. Huoni wabunge wa uingereza wanavyowajibika hata kwa kutumia toilet paper ovyo.mkuu kanda2, "medical check up" haimaanishi kwamba mtu anaefanyiwa ni mgonjwa. Haswa kwa viongozi wetu, wapo entitled kwa medical check up nje ya nchi. Kwa kifupi ni kucheki hali ya afya yako sio kusubiri hadi ukiwa mgonjwa.
What a man does in his spare time after the medical check up is none of our business, kwani hayupo answerable kwetu. Habari ndio hiyoo!
Sheria za madini zilikuwa na mapungufu Mengi kiasi cha kuunda tume ya jaji Bomani kupitia mikataba yote ya madini.case study au chanzo chake ni mkataba mmoja tu wa machimbo ya BUZWAGI.kila kitu kina chanzo kwenye hili wa kwanza ni sumaye.
lakini lazima uelewe ilitakiwa Sumaye aitaarifu serikali toka nyumbani kuwa "nakwenda UK kutibiwa na pia kuhubiri injili"
hakusema kuwa atakwenda kuhubiri Injili kwa hiyo system haitambui ziara zake za mahubiri kwenye miji mbali mbali ya UK.kwa hili kama usalama wa Taifa watafanya kazi yao basi walinzi wake wanaweza kujikuta kwenye matatizo.kiongozi hajiendei mahala ndio maana ya kupata clearence mambo ya nje kabla ya kusafiri.
kwa usalama wake huko alikokwenda kwenye mahubiri unaweza kukuta jengo walilokwenda halijasajiriwa kama nyumba ya ibada na kikimtokea kitu ni serikali yetu ndio itakayowajibika.
amevunja hadi protocol yake,yeye ni dipomatic hatakiwi kufanya mambo kienyeji.
We we Boma nchi inaendeshwa na katiba na sheria kama viongozi wako entitled na hizo rights huwezi walalamikia wakizitumia, for your info;Salim , Msuya, Warioba, Malecela and the list goes on to Kawawa wanatunzwa na Serikali, tena huyu Kawawa (jirani yangu), nyumba yake ambayo hakai inalindwa masaa 24 na huduma nyingine kede kede. Mwacheni atumie mafao yake ya Uongozi awe fisadi au la hiyo ni haki yake inayoendana na wadhifa.