Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,343
- 13,864
Kweli kabisa, machoni wanacheka ila rohoni hawana amaniMaccm yamekataa tamaa viwanda vimeshindikana bora watukane watu ndio kilichobaki
Acc
Kweli kabisa, machoni wanacheka ila rohoni hawana amaniMaccm yamekataa tamaa viwanda vimeshindikana bora watukane watu ndio kilichobaki
Acc
Ni chama kipi kiliwaaminisha watanzania kinapambana na ufisadi?Mbona chenge haojiwi?
Ni chama kipi kiliwaaminisha watanzania kinapambana na ufisadi?
Hata ungejua ungefanyaje? Umbea tu kuacha mkutano wenu kuangalia ya jirani!Kumbe Kamati Kuu imefanyika? Ndo kwanza nasikia hapa
Kamuulize aliyesema leo atakuwa Mwenyekiti wa Chama tawi la MsogaKutoka Waziri Mkuu wa Tanzania mpaka kugombea Umwenyekiti wa Chama Kanda halafu bado anaiambia CCM ikae chonjo kwa sababu yeye ni mgombea wa Uenyekiti wa Kanda.
Sumaye wa leo anayegombania cheo na Kubenea ndiye anayeiambia CCM ikae chonjo. This is fun to say the least.
Bora hata Mbowe akisema CCM akae chonjo unaweza kumsikiliza kwa makini kwa sababu hajawahi kuwa serikalini.
Kikwete amempiga vijembe kweli kweli na vijembe vimemfanya atoke ndani ya pango na kuanza kupiga kelele.
kwa upuuz unaoandika unastahili kujibiwa na watu kama hawaInakusaidia nini kuandika hivi?
Mkwele alikosa la kusema kaona aseme chochoteKamuulize aliyesema leo atakuwa Mwenyekiti wa Chama tawi la Msoga
By the way, ahsante Molemo kwa.kumjibia Wa Mchangani. Swali langu kwako, je ulifanikiwa kumtekodi wakati akitoa ufafanuzi huo?
Ha ha ha ccm wote duuuh hata kama wametutukana wapinzani sitojali ila naota na ninachojua mm wanaccm wengi ni visukar tu sasa ukilinganisha kuuza utu wao na huku anakisukari atakufa na anaibiwa live anakufaYani leo kila baada ya neno ni Chadema, Lowasa, sumaye, Hawa magamba watakufa kwa pressure mwaka huu, ukiwa muovu lazima ukose amani.
Asante sana Fredrick Sumayi