Inasaidia coz unajipendeza kwa njaa za ajabu umeuza utu wako haya nenda kalipwe lumumba buku 7. Mwanaume mzima unajipendekeza endelea kujipendekeza na hujapata ukuu wa wilayaInakusaidia nini kuandika hivi?
Ccm hawajui waanzie wapi?Bora watukane na kukejeli wengine maendeleo wamuachie makambaCCM bado inafanya campain mpaka sasa wamejisahau kuwa wanach waliowachagua wanataka maendeleo na maisha bora pekeake. Propaganda wasubir mpaka 2020. Nashangaa kuona CCM inaangaika utadhan kama ndyo chama cha Upinzani vle
KumtekodiBy the way, ahsante Molemo kwa.kumjibia Wa Mchangani. Swali langu kwako, je ulifanikiwa kumtekodi wakati akitoa ufafanuzi huo?

Kama sikosei rais mstaafu wa awamu ya tatu wakati ule wa kampeni alisema watu wa aina hii ni........ mkasema ametukanaWaziri mkuu mstaafu na mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Fredrick Sumaye ameitaka CCM kukaa chonjo kwani Chadema imedhamiria kutwaa dola mwaka 2020 na haitishwi na porojo za chama hicho hicho kinachoonyesha wazi kufilisika.
Sumaye amesema anayo kazi moja tu ya kukitumikia Chadema na kukieneza kuanzia vitongojini na wala hashtushwi na watu wanaomsakama kwani wanaonyesha hofu kubwa waliyo nayo kwake.
Sumaye alizungumza kwa kifupi sana wakati anaingia ndani ya kikao cha Kamati Kuu Chadema kutokana na swali aliloulizwa na mwandishi kuhusu jina lake kuwa kama agenda kwenye mkutano mkuu wa CCM leo.
Jina la Sumaye lilitawala ndani ya mkutano mkuu huo ambaye alitajwa sana kwa kejeli na viongozi kadhaa waliopata nafasi ya kuzungumza ndani ya mkutano huo.
Hiyo ni kuashiria Waziri mkuu huyo mstaafu ni kati ya watu wanaoitia kiwewe CCM.
Naona Leo mlikuwa mkiimba taarabu mkiongozwa na Khadija KopaKutoka Waziri Mkuu wa Tanzania mpaka kugombea Umwenyekiti wa Chama Kanda halafu bado anaiambia CCM ikae chonjo kwa sababu yeye ni mgombea wa Uenyekiti wa Kanda.
Sumaye wa leo anayegombania cheo na Kubenea ndiye anayeiambia CCM ikae chonjo. This is fun to say the least.
Bora hata Mbowe akisema CCM akae chonjo unaweza kumsikiliza kwa makini kwa sababu hajawahi kuwa serikalini.
Kikwete amempiga vijembe kweli kweli na vijembe vimemfanya atoke ndani ya pango na kuanza kupiga kelele.
Kawaida ni Sawa na billionea Manji kugombea udiwaniHana lolote huyo
Alikuwa waziri mkuu
Anaenda Kugomb uenyekiti chama wilayani hahaha
AccKawaida ni Sawa na billionea Manji kugombea udiwani
akhsante mr ZIROWaziri mkuu mstaafu na mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Fredrick Sumaye ameitaka CCM kukaa chonjo kwani Chadema imedhamiria kutwaa dola mwaka 2020 na haitishwi na porojo za chama hicho hicho kinachoonyesha wazi kufilisika.
Sumaye amesema anayo kazi moja tu ya kukitumikia Chadema na kukieneza kuanzia vitongojini na wala hashtushwi na watu wanaomsakama kwani wanaonyesha hofu kubwa waliyo nayo kwake.
Sumaye alizungumza kwa kifupi sana wakati anaingia ndani ya kikao cha Kamati Kuu Chadema kutokana na swali aliloulizwa na mwandishi kuhusu jina lake kuwa kama agenda kwenye mkutano mkuu wa CCM leo.
Jina la Sumaye lilitawala ndani ya mkutano mkuu huo ambaye alitajwa sana kwa kejeli na viongozi kadhaa waliopata nafasi ya kuzungumza ndani ya mkutano huo.
Hiyo ni kuashiria Waziri mkuu huyo mstaafu ni kati ya watu wanaoitia kiwewe CCM.
Maccm yamebakiza matusu na mipasheCCM ilikua zanani sio hii inayowaogopa hata vijana wadogo kabisa wa BAVICHA ambao maskini hata silaha hawana wala hawatarajii kuzishika.
CCM inayoogopa kuteketezwa na sauti za wapinzani.
Kama mnafahamu watu wanatakiwa kufanya kazi tu, mliweka live mambo yenu ili nani ayatazame?
Unamuenea wivu ama soma tuliza makalio yako halafu usome alama za nyakati ww hujawah kuwa na uenyekiti wa mtaa watu wanaakili zaidi yako ww umekunywa kibeer kimoja unasumbua balaa kakojoe ukalale then utajua kesho.
Mbona chenge haojiwi?Watu ambao CHADEMA mlipaswa kuwahoji kwa kina walifanya nini walipokuwa na vyeo walivyokuwa navyo na wengine wamechafuka kwelikweli ndio sasa wanakaa meza moja na Mnyika na Lissu eti mnawaita wapambanaji.!
Ni aibu kubwa..kubwa mno.
Du mbona wanaporudi mnawapokea kwa mbwembwe na vifijo? Nimeshangaa sana kuona mnawapokea Msindai na Mpendazoe! Watu mliowaita makapi! Nilidhani mpo serious kumbe mnapiga siasa!Lazima tuwakumbuke mafisadi papa