Sumaye: CCM kaa chonjo

Sumaye: CCM kaa chonjo

sumaye wewe hamuna kitu wandangenye wehu. kwaza nilionga hamuna mfano. halijiamini nalinachokifanya.
 
By the way, ahsante Molemo kwa.kumjibia Wa Mchangani. Swali langu kwako, je ulifanikiwa kumtekodi wakati akitoa ufafanuzi huo?


ccm ni mabingwa wa mipasho hii ni dalili ya chama kupoteza uelekeo hasa kipind cha mkwere kageuza chama cha taarabu na ndio mana kinashindwa ktk chaguzi mchapakazi mzur ni jecha na lubuva ndo wanaoficha hiyo mipasho.
 
JK kasema hivi vikina elizaboni vinapiga mizinga ile mbaya vinaanzia book 25 JK anachomoa vinaishia kubomu mpaka book 2 noma sana
 
Ukimsikiliza makamba utajua wazi jinsi hawa wazee wanavyotetea matumbo wanajitoa ufahamu wa kufa mtu et kikwete alianza kupambambana na ufisad tibaijuka mwenyewe alimtoa jasho hapo joka kuu la makengeza hata kulitaja alishindwa wap epa? Mzee kajaa taarabu halafu anampiga magufuli dongo la ushaur kwa kumzunguka kutumia vimemo narudia tena hawa tume ya uchaguz inawabeba sana hawana sera wao ni mipasho tu uchaguz ukija marefa wanao wenye beji ya fifa jecha na lubuva.
 
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Fredrick Sumaye ameitaka CCM kukaa chonjo kwani Chadema imedhamiria kutwaa dola mwaka 2020 na haitishwi na porojo za chama hicho hicho kinachoonyesha wazi kufilisika.

Sumaye amesema anayo kazi moja tu ya kukitumikia Chadema na kukieneza kuanzia vitongojini na wala hashtushwi na watu wanaomsakama kwani wanaonyesha hofu kubwa waliyo nayo kwake.

Sumaye alizungumza kwa kifupi sana wakati anaingia ndani ya kikao cha Kamati Kuu Chadema kutokana na swali aliloulizwa na mwandishi kuhusu jina lake kuwa kama agenda kwenye mkutano mkuu wa CCM leo.

Jina la Sumaye lilitawala ndani ya mkutano mkuu huo ambaye alitajwa sana kwa kejeli na viongozi kadhaa waliopata nafasi ya kuzungumza ndani ya mkutano huo.

Hiyo ni kuashiria Waziri mkuu huyo mstaafu ni kati ya watu wanaoitia kiwewe CCM.
Mchezaji wa mchangani lini akamtia kiwewe mchezaji wa ligi kuu.
 
Sumaye kutoka PRIME MINISTER hadi mwenyekiti wa chama wilaya, mkoa, kweli njaa haina baunsa.
Ulitakiwa uwe Meza kuu na wastaafu wenzio lakini tamaa ni mbaya sana, ndo unapotea hivyo kwani ulpo si mahala pake , kwa heri!
 
Katajwa mara moja , nyumbuuz waliotajwa mara moja wapo wengi why useme huyo ndo ilikuwa ajenda mkutano
Ulimsikiliza makamba mchana na kikwete je kama hukusikiliza ukae kimya sio kutafuta umaarufu hapa
 
Kutoka Waziri Mkuu wa Tanzania mpaka kugombea Umwenyekiti wa Chama Kanda halafu bado anaiambia CCM ikae chonjo kwa sababu yeye ni mgombea wa Uenyekiti wa Kanda.

Sumaye wa leo anayegombania cheo na Kubenea ndiye anayeiambia CCM ikae chonjo. This is fun to say the least.

Bora hata Mbowe akisema CCM akae chonjo unaweza kumsikiliza kwa makini kwa sababu hajawahi kuwa serikalini.

Kikwete amempiga vijembe kweli kweli na vijembe vimemfanya atoke ndani ya pango na kuanza kupiga kelele.

Sawa Kikwete Na sumaye Bora nani? Katika Nchi hii?
 
CCM bado inafanya campain mpaka sasa wamejisahau kuwa wanach waliowachagua wanataka maendeleo na maisha bora pekeake. Propaganda wasubir mpaka 2020. Nashangaa kuona CCM inaangaika utadhan kama ndyo chama cha Upinzani vle
 
Sumaye anawatia jamba jamba maccm yamebaki kulia lia
 
Back
Top Bottom