Sumaye amponda Lowassa

Sumaye amponda Lowassa

Shukrani Mkuu. Kwanza sikuamini kama ni kweli ilipokuja kuthibitika kuwa ni kweli nilichukia sana lakini bahati mbaya sina uwezo wa kihivyo ndani ya Chadema kuzuia maamuzi yale mabaya ambayo yaliwakera wengi sana na pia kuwashangaza. Ikitokea hawa kuamua kurudi walikotoka nitakuwa wa kwanza kufurahia sana tukio hilo.
It's true na wakati wengine tunaanza harakati za kuonesha hasira zetu kwa Chadema uliamua kukaa kimya ...binafsi nikajua unapambana kupitia another ID ...kumbe uliamua kubariki huu ujinga unaotugharimu hata sasa ...ndio maana ulipo rudi JF baada ya kimya ukajiunga na kundi linalomtukana Dr Slaa ambaye amesimamia msimamo huu unaosema hadi sasa ndio wako! Umeshasikia "wenye" chama wakimkebehi au kumtusi Dr Slaa? ....usiwe vuguvugu ....simamia unachoamini hata ikibidi ondoka Chadema ili ulinde unachoamini ...
 
Siwezi hata siku moja kubariki upumbavu wa aina yoyote ile. Acha kukurupuka wewe! Wewe hujitambui hata chembe mara uko Chadema mara uko CCM! Naamini ipo siku hao mafisadi wawili watarudi walikotoka kwa mafisadi wenzao.

It's true na wakati wengine tunaanza harakati za kuonesha hasira zetu kwa Chadema uliamua kukaa kimya ...binafsi nikajua unapambana kupitia another ID ...kumbe uliamua kubariki huu ujinga unaotugharimu hata sasa ...ndio maana ulipo rudi JF baada ya kimya ukajiunga na kundi linalomtukana Dr Slaa ambaye amesimamia msimamo huu unaosema hadi sasa ndio wako! Umeshasikia "wenye" chama wakimkebehi au kumtusi Dr Slaa? ....usiwe vuguvugu ....simamia unachoamini hata ikibidi ondoka Chadema ili ulinde unachoamini ...
 
Acha unafiki wewe!

Ambao hatukumchagua Magufuli tuna haki ya kumkosoa, tuachwe tumkosoe. Tunamsaidia!

It's true na wakati wengine tunaanza harakati za kuonesha hasira zetu kwa Chadema uliamua kukaa kimya ...binafsi nikajua unapambana kupitia another ID ...kumbe uliamua kubariki huu ujinga unaotugharimu hata sasa ...ndio maana ulipo rudi JF baada ya kimya ukajiunga na kundi linalomtukana Dr Slaa ambaye amesimamia msimamo huu unaosema hadi sasa ndio wako! Umeshasikia "wenye" chama wakimkebehi au kumtusi Dr Slaa? ....usiwe vuguvugu ....simamia unachoamini hata ikibidi ondoka Chadema ili ulinde unachoamini ...
 
Sijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
tunashukuru mungu sasa hivi yuko upande wa makamanda
 
sumaye mara nyingi usema ukweli nakumbuka kauli yake kuwa "anaetumia vyombo vya habari kuingia madarakani atatumia risasi za moto awapo madarakani"
Sumaye ni mkweli sana namsifu anasema hawezi kurudi ccm kwa kuteswa
 
Shukrani Mkuu. Kwanza sikuamini kama ni kweli ilipokuja kuthibitika kuwa ni kweli nilichukia sana lakini bahati mbaya sina uwezo wa kihivyo ndani ya Chadema kuzuia maamuzi yale mabaya ambayo yaliwakera wengi sana na pia kuwashangaza. Ikitokea hawa kuamua kurudi walikotoka nitakuwa wa kwanza kufurahia sana tukio hilo.
Kamanda wenye hisia kama zako ni wengi sana ambao kwa njia noja ama nyingine walikubaliana na wengine hawakukubaliana lakini tukapiga hatua moja mbele kukubaliana kutokukubaliana tukasonga mbele bila kugawana fito.
Jambo hilo halikuwafurahisha majirani zetu ndo bado linawapa wenge mpaka kesha,huna la kujutia kamanda songa mbele big up
 
Sijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
Napita tu.
 
nyuzi za zamani muwe mnaziacha bwana mnazifukua za nini?
 
Sasa na wewe hapo si ndo unaendelea kufukua?
hapana sijafukua na sipendi kufukua maana wengi humu tulikuwa upande uleeee mara uleee kabla ya upepo kubadilika 2015, tuangalie mbele ya nyuma tuyapotezee
 
Hahahah! Mkuu, sawa. Ila ilikuwa ni kama umepokea tu beleshi kwenye ufukuaji. Wewe ulikuwa upande upi kwani na sasa uko upande upi?
 
Back
Top Bottom