jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
Umenchekesha sana, upande wa Spunda? Siamini. Sema sina muda wa kufukua. Bado uko upande wake?Mie niko upande wa HASHIM RUNGWE
Umenchekesha sana, upande wa Spunda? Siamini. Sema sina muda wa kufukua. Bado uko upande wake?Mie niko upande wa HASHIM RUNGWE
pambana na hali yako kiongozi wala sioni kama kuna sababu ya kuanza kubishana kuhusu siasa za Tz.Habari ndiyo hiyo kama huna la maana la kuandika pita kimya.
Hahahahaa..jf raha sana, najua mwenyewe umeyaandika haya huku unacheka kimoyomoyo.Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kuandika ujinga. Sasa kupita kwako sisi kunatuhusu vipi!?![]()
mkuu mbona unatolea lugha ambayo sio ya kiustarabu/kiutuzima wapi kosa langu lilipo labda.Acha ujinga wewe! Upumbavu ulioandika hauhusiani na siasa za Tanzania, na hali yangu haikuhusu.
Wazibe wasizibe lakini historia ni mwalimu pia anatufundisha...kwamba waliwahikusena jamaa ni Fisadi papa lakini leo ni kiongozi Wa chama chao na leo wanasema Rais hafai ni dictator je wanafaa kuaminiwa na waTanzania?! au wanatuchezea tu kumbe wanataka aame aende kwao maana hata sumaye walishawahi kumbatiza kajina ka Mr.z.e.r.o lakini Leo wanaongozwa na zero huyohuyo wamejaa unafikimnatukumbusha yaliopita, CDM walisha ziba masikio
dah!! inasikitisha sana kwa kweli kumtukana mtu ambaye hamjuani, kiongozi mimi sioni kama kuna sababu ya wewe kunirushia maneno ambayo hayana staha labda kama kuna sehemu nilikukosea unaweza ukaniambia lakini si kunitukana kiasi hicho.Kwani nimeandika kihindi na wewe kihindi huelewi!?
Naomba nitumie hii kauliKuna tofauti sana kati ya Chadema ya sasa na ile ya zamani kabla ya mwezi Juni 2015
So tusiwaamini mnachokisema Leo?! maana mnawasema watu vibaya sana ila wakihamia kwenu mnawatukuza mkuu hii imekaaje !!Kamanda wenye hisia kama zako ni wengi sana ambao kwa njia noja ama nyingine walikubaliana na wengine hawakukubaliana lakini tukapiga hatua moja mbele kukubaliana kutokukubaliana tukasonga mbele bila kugawana fito.
Jambo hilo halikuwafurahisha majirani zetu ndo bado linawapa wenge mpaka kesha,huna la kujutia kamanda songa mbele big up
Mkuu BAK anishije na fisadi papa ilihali msimamo wake bado ni uleule kwamba Lowassa ni fisadi!?Duh! Ila kweli LOWASA MABADILIKO!!!!!!
Mkuu wewe upo tofauti na BAK maana BAK mpaka kesho anaamini Lowassa ni Fisadi papa na anatamani na Ku wish siku moja lowassa atarudi alikotoka mpaka hapa mshagawana fito mkuu...Kamanda wenye hisia kama zako ni wengi sana ambao kwa njia noja ama nyingine walikubaliana na wengine hawakukubaliana lakini tukapiga hatua moja mbele kukubaliana kutokukubaliana tukasonga mbele bila kugawana fito.
Jambo hilo halikuwafurahisha majirani zetu ndo bado linawapa wenge mpaka kesha,huna la kujutia kamanda songa mbele big up
Alijitetea na mlimuelewa?Sijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
Siwezi hata siku moja kubariki upumbavu wa aina yoyote ile. Acha kukurupuka wewe! Wewe hujitambui hata chembe mara uko Chadema mara uko CCM! Naamini ipo siku hao mafisadi wawili watarudi walikotoka kwa mafisadi wenzao.
Penye udhia ilipenyezwa rupia 😀Alijitetea na mlimuelewa?
Mzandiki katika ubora wako. JF inazidi kukuvua boxer/thong kila kukichaSijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
Huyo BAK ni mzandiki kupita maelezo mkuu. Hana hata chembe ya aibu na UTU.Aibu yako ikukute kokote unakoenda. Unajua kwa nini Lowassa aliingia moja kwa moja katika ngazi ya maamuzi katika chama?
Wewe unakiri kutokuwa na nguvu hiyo. Kwa maana hiyo hiyo unatetea uovu wa wakubwa wako ili siku ziende.
Mwachie Lowassa chama chake mkuu. Lowassa ni yule yule kama alivyotaka kununua CCM ndo alivyonunua CHADEMA.
Mkuu, akikujibu unistue.Mkuu BAK anishije na fisadi papa ilihali msimamo wake bado ni uleule kwamba Lowassa ni fisadi!?