Sumaye amgwaya Lowassa!

Sumaye amgwaya Lowassa!

Eti ahamie cdm!!fisad hua nimuoga zaid yafisi hawez subutu na wizi amuachie nani?cdm hatutaki majambaz wakae huko huko wazikane wenyewe.akitoka wenzake watamfilis cdm hatuhitaj msaada wamafisad wenyewe tunajiweza na umasikin wetu natuko fit zaid ya utuonavyo maana tulisha kufa sikunying muda ukifika watachinjana kabisa yetu macho
 
Kwangu naona leo Sumaye alikuwa anavunja rasmi mtandao wake na kusubiri huruma akaribishwe kwenye mtandao EL.
 
Sumaye:

Baadhi ya taarifa katika magazeti na taarifa za habari.... Kuna gazeti limeandika "Sumaye kupasua jipu Dar es Salaam...." Sina jipu wala jipu wala bomu la kupasua.

Kuna lililonishangaza kwamba 'Sumaye amtangazia jipu Lowassa, ikiwa ataingia Lowassa basi atamkabili kwa namna yoyote....'

Hakuna aliyezungumza na mimi kwamba nitapambana na Lowassa, siamini kama kuna source ya karibu na mimi. Basi sikifahamu na kama chanzo kipo sikifahamu, sijaongea na mtu na wala nisingeweza kuyasema, sina uhasama na Lowassa, na niliamua kugombea sitogombea kwa sababu ya mtu, bali kwa sababu ya maslahi ya nchi na si ya mtu.
k
Kwani aliitisha press comference kukanusha habari zilizoandikwa magazetini? Mbona anatuchanganya aseme alichotaka kusema au ameshatishiwa kushughulikiwa kaogopa?
 
Kwa kweli Chadema wanatakiwa kumsimisha Sumaye kuwa mgombea wao wa urais.


Nasikia wewe Ritz na bibi kiroboto ndio mmeachiwa nchi na JK kuiongoza wakati yeye anakula bata Canada pole Rais kivuli
 
ndio amemaliza kirahisi namna hiyo? kweli siasa ni mchezzo mchafu!

Ndiyo maana hakuupata u-nec yaani pm mstaafu anaitisha pres conference kuongea haya! Hongera mh.Nagu kwa kazi uliyofanya.
 
Mnafanya mchezo na chama Dola. Au mmesahau Lowassa alivyoita waandishi wa habari huko kwao kupasua mabomu mara ghafla akaanza kuongea yale yale ya kila siku. CCM ni kama mbuyu, katawi kamoja kakipata kansa, wenzake wanakang'oa haraka sana. Wote huishia kupiga kelele as if hawajaumizwa na chama chao. Kuanzia Mwakyembe, Mwandosya, Sitta, Filikunjombe, Bashe, Mwakalebela and the list goes on and on... Mwisho wa siku wanaishia kusema "Bado tuna imani na chama chetu. Chama kina sehemu mbili wanachama; kwa kiasi kikubwa bendera na viongozi; ambao ndio upepo wenyewe unaoziongoza hizo bendera(wanachama). Sasa kama mwanachama ana hakika kuwa viongozi wanapatikana kwa kununua uongozi anafanya kwenye hicho chama kama sio maslahi.. I really hate hypocrisy.

Sumaye:
Mambo ya Hanang, yalitokea nchi nzima... Na yalitokea kwa staili tofauti

Tatizo ni kubwa sana, maana nchi nzima matumizi makubwa ya fedha... Tatizo ni kubwa na limeota mizizi

Nimewahi kuzungumzia mara kadhaa...

Nilisema nikiwa Same "Rushwa ni tatizo Barani na Tanzania pia... Kwetu sisi huwezi kushinda bila kutoa fedha"

Nilisema haya 2010:

"Kiongozi anayetoa rushwa anapata wapi kama si mwizi na mla rushwa... Hawezi kuwatendea haki maana wananchi ni kama bidhaa na hatawatumikia bali atatfuta za kihonga baadae"

Huu ndio unafiki.
 
Sipati picha magazeti ya kesho hasa ya chama na serikali. Utasoma 'Sumaye awaka','Sumaye awakemea watoa rushwa' nk. Kwa kufuatilia tu,mimi ni.......poor me! Hawa watu watatufanya tuue...
 
Duh, kazi kweli kweli. Nilipata kusema huko siku za awali kwamba such things can happen "only in Tanzania".
Hayo yanaweza kutokea TZ tu, na si kwingineko.

Huyu ndiye aliyetaka kuwa rais wa Tz!!??? Mbona gharika.

Wakuu, kwa kweli sikutegemea mtu wa aina yake angeweza kulipia ukumbi kwa hela nyingi ili azungumze na waandishi wa habari katika kutoa yaliyomo ndani ya mtima wake, halafu mambo yenyewe ndiyo hayo!!??? Inasikitisha sana, japo haishangazi.

Poleni wakuu kwa kupoteza muda kama mimi na kuahirisha vitu muhimu ili kufuatilia Mhe. alitaka kusema nini kumbe duh!
 
I expected something very different... Poor me 🙁
 
Nasikia wewe Ritz na bibi kiroboto ndio mmeachiwa nchi na JK kuiongoza wakati yeye anakula bata Canada pole Rais kivuli

Mkuu kwa mujibu wa katiba yetu rais kivuli wa Tanzania ni Dr Slaa.
 
383521_401768166544812_98921680_n.jpg
 
kama hao waandishi walipewa bahasha basi itakuwa ni baada ya hiki kituko, other wise wangeondoka waka muacha peke yake kabla ya kumaliza. unaweza kudhani unaota

Umenena mkuu,waandishi wa habari wanajidhalilisha,nadhani taarifa hii kwa mwandishi makini ataiweka kwenye udaku lakini kwa sababu ya bahasha kesho utasikia"sumaye aiasa/pasha ccm"ukurasa wa mbele,hawa ndo wa-harvard wetu! Nahisi alikuwa na hamu ya kusema "Mungu ibariki Tanzania" sababu hajaitamka siku nyingi.
 
Nimeshastuka hakuna jipya hapa. Yale yale ya EL kusema sikukutana na JK barabarani. Aseme ameita mkutano kusema nini hasa

Mkuu hata mimi bado cjapata anachotaka kusema ni nn maana ana-kick around the bush.''Bongo politiki'' bhana!
 
Kunakitu kimoja ambacho kimo katika CCM WOTE MAFISADI NA KILA MMOJA ANAMADHAMBI YAKE HAKUNA WA KUMTISHA MWENZIE.Kauli ya Sumaye kutoa kauli ya kua atakutana na vyombo vya habari week moja baada ya kushindwa ni kua alikua amelenga kuitishia nyau CCM kama ilivyokua kwa Nimrod Mkono akitegemea CCM kukutana nae na kutafuta suluhu nafikiri walikutana na baada ya CCM kumuonyesha madudu yako haya na yetu ni haya hivyo kaa kimya sisi kitu kimoja.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Back
Top Bottom