Sumaye amgwaya Lowassa!

Sumaye amgwaya Lowassa!

Huu ndiyo upuuzi alioitia waandashi?!!!
 
Sumaye:

Bado nina imani na CCM, tatizo ni kwamba hatujajipanga kusimamia kwa dhati kupambana na rushwa... CCM ni ile ile iliyokuwapo miaka ya Mwalimu
 
Haya ndo yalimfanya aiitishe press?? Katumia vibaya muda wa waandishi wa habari na watu wanaomsikiliza..

Waandishi wa habari hawajapotezewa muda wao na wala hawajutii baadhi wamenufaika na wito huo kwa bahasha
 
upuuzi wa hali ya juu ......amengea upuuzi tu..heri angebak kanisani....
 
Sumaye:

Bado nina imani na CCM, tatizo ni kwamba hatujajipanga kusimamia kwa dhati kupambana na rushwa... CCM ni ile ile iliyokuwapo miaka ya Mwalimu

mwambei aach upuuzi..ccm ya mwenye heri mwalimu haikuwa hivi kipindi kile
 
Ana hang over ya kukosa nafasi ccm huyu! Hivi kama angekuwa amepata angekuja kufanya press conference na kuongelea hayo anayo ongea?!

Haf sioni cha maana/tangible alichoongea zaidi ya kupiga hadithi ambazo tayari zinafahamika na kila mtu. Kwani kuna asiyejua ccm ilivotamalaki kwa rushwa ktk chaguzi zake? Anaposema Hanang rushwa ilitawala mbona hamsemi dhahiri aliyetoa ni nani? Bogus huyu mzee
 
Hao usalama wanaomlinda sumaye ndio walewale 'system at work'.
maana haiingii akilini mtu una access na hao jamaa na unalala nao then unafanyiwa fitina katika uchaguzi na mwanamama ambaye umemzidi uzoefu then unakuja kulilia huruma ya wanahabari.
kuwa makini na hao walinzi wako mkuu,muulize malecela naye ni haohao wali engeneer akaanguka ubunge!
 
Khaaaah... Mbona hakuna jipya hapo???
Jipya hadi ahamie cdm....waandishi maknjaja waliikuza na kuifanya habari bila ya uhalisia zaidi tutarajie nn unadhani kuna anayeyataka yamkute ya pendazoe wachache sana na tusitegemee mapidizi kwa watua kamaa hawa tunakuwa watu wakuskia na kutarajiaa habari mbaya bila ya kufanya mapindizu sahh sashh hata atangaze kahamia cdm bado haifanyi kuwa nd wakati kwan kazi bado sanaa
 
Nimeshastuka hakuna jipya hapa. Yale yale ya EL kusema sikukutana na JK barabarani. Aseme ameita mkutano kusema nini hasa

kama hakuna jipya sepa,unatukata stimu mwache jamaa atupe info.
 
Madaraka matamu sana yani kakaa miaka 10 magogoni tena kwa raha mustarehe elimu ya demokrasia na kujieleza ilikuwa ndogo,walikuwa wanapigiwa makofi tu, sasa watu wameamka,sasa apumzike ale bata,kila alieshinda si katumia rushwa huku kwetu Chikawe kaangushwa na mtu dhalili tu kiuwezo,kubali kushidwa.
 
Na sisi ambao si waandishi na hizo bahasha hatuchukui? Katupotezea muda, hiki si kitu cha kuitisha mkutano na waandishi na kuongea. Hakuna jipya hapa. Natoka wakuu

pole sana mkuu, tunashukuru kwa kutujuza uziro wa pm wetu wa zamani.!
 
Bdo huyu jamaa/waziri wetu mkuu mstafu haazingumza mambo yenye kuonesh mwanga na solution ya matatizo yetu haya ya rushwa.

Bdo anapiga porojo tu huyu mkuu wetu


Ajipange zaidi tena ajopsnge sana tu.
 
Na sisi ambao si waandishi na hizo bahasha hatuchukui? Katupotezea muda, hiki si kitu cha kuitisha mkutano na waandishi na kuongea. Hakuna jipya hapa. Natoka wakuu

Absolutely...Hana issue. After all aliyetoa pesa si hawara yake wa zamani? au siku hizi wamemwagana? siasa bana sii hasa....
 
Na sisi ambao si waandishi na hizo bahasha hatuchukui? Katupotezea muda, hiki si kitu cha kuitisha mkutano na waandishi na kuongea. Hakuna jipya hapa. Natoka wakuu
Shukurani kwa habari na matukio mengi unayotupatia live.
 
Back
Top Bottom