Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,023
- 43,168
Mkuu, Sumaye anafanya biashara gani hapo CCM?
Anauza maneno.
Mkuu, Sumaye anafanya biashara gani hapo CCM?
anaongea maneno ya kwenye kanga tu wakati hayo tushayazoea, ccm ya sasa tofauti kati ya livingstoni lusinde na sumaye wote wanaongea sawa
Pole mkuu kakupotezea muda tu, msisahau analipwa asilimia themanini ya mshahara wa pinda wa sasa ningeshangaa na kumwona jasiri sana kama angetoka ccm kipindi, lakini nadhani angekaa kimya ingekuwa bora zaidi kuliko kuita waandishi kama vile una jambo zito la kuzungumza af mwisho wa mazungumzo hawajui ulitaka kusema nini! AibuNa sisi ambao si waandishi na hizo bahasha hatuchukui? Katupotezea muda, hiki si kitu cha kuitisha mkutano na waandishi na kuongea. Hakuna jipya hapa. Natoka wakuu
Pole mkuu kakupotezea muda tu, msisahau analipwa asilimia themanini ya mshahara wa pinda wa sasa ningeshangaa na kumwona jasiri sana kama angetoka ccm kipindi hiki, lakini nadhani angekaa kimya ingekuwa bora zaidi kuliko kuita waandishi kama vile una jambo zito la kuzungumza af mwisho wa mazungumzo hawajui ulitaka kusema nini! AibuNa sisi ambao si waandishi na hizo bahasha hatuchukui? Katupotezea muda, hiki si kitu cha kuitisha mkutano na waandishi na kuongea. Hakuna jipya hapa. Natoka wakuu
Napendekeza katika katiba mpya PM wote wastaafu waondolewe ulinzi.... ni kuongeza gharama,Wakuu,
Nipo kwenye ukumbi tayari na nitawajuza kila kinachoendelea ikiwa ni pamoja na picha. Mods mtanisadia kuziweka sawa kwakuwa nitakuwa naandika kadiri matukio yanavyojiri.
Ni hapa Courtyard Hotel - Dar
![]()
![]()
Sumaye anaanza kuongea saa ngapi?
Aseme ni nani anatoa Rushwa. Kama ni mkweli ataje watu kwa majina na si kusema kuna watu bila kutaja majina. Kama anajeuri. CCM wote wameoza