Suluhisho la jobless wanawake na graduate waliokosa ajira kwasasa ni kuolewa? Inanishangaza sana

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,728
Reaction score
4,075
Inanishangaza sana inaonekana kwa sasa suluhisho la jobless na graduate wengi sana waliokosa ajira ni kuolewa na hii hali inanishangaza sana aisee sasa najiuliza hapa nikiingiza miguu yangu kwamba hawa wanawake wote watanihitaji kwa ajili ya mapenzi na ndoa au kwa ajili ya kusukuma siku ziende?

Kuna siku nilituma mtandao Tangazo dogo la kutaka mke wa kumuoa aisee nilipata meseji zaidi ya 20+ wanawake wakija kwangu kuniomba niwaoe na asilimia 80 na sio kama 90 ni jobless au graduate waliokosa ajira au wengine wanaojitolea na wengi wakija kwa gia ya kwamba wanahitaji mwanaume mcha mungu sasa najiuliza hawa wanahitaji ndoa kweli au maisha yameenda mrama na expectations yao ya kupata ajira imepotea na sasa wanatafuta huruma ya kuolewa? Na wengi wakinipigia magoti na kuniomba niwaoe aisee

Kweli ajira imekuwa kaa la moto na unaelekea hawa wangekuwa kwenye peak yao ya ajira wasingehitaji kuolewa na sasa hawana ajira na wamechoka kuishi kwa wazazi wao so wanaona bora tu kuolewa ili wapunguze machungu ya kuolewa Tu? I'm sorry for them # Takbiiir #

#No reform no election# NRNE# .Takbiiir Allah Akbar.

# Huu ndiyo muda wa kula hela za warembo ukitaka kuolewa na mimi nipe pesa au nitolee mahari wewe hautaki achana na mimi# No reform no election# Takbiiir Allah akbar
 
Attachments

  • FB_IMG_1740029817877.jpg
    FB_IMG_1740029817877.jpg
    37.1 KB · Views: 17
Inanishangaza sana inaonekana kwa sasa suluhisho la jobless na graduate wengi sana waliokosa ajira ni kuolewa na hii hali inanishangaza sana aisee sasa najiuliza hapa nikiingiza miguu yangu kwamba hawa wanawake wote watanihitaji kwa ajili ya mapenzi na ndoa au kwa ajili ya kusukuma siku ziende?

Kuna siku nilituma mtandao Tangazo dogo la kutaka mke wa kumuoa aisee nilipata meseji zaidi ya 20+ wanawake wakija kwangu kuniomba niwaoe na asilimia 80 na sio kama 90 ni jobless au graduate waliokosa ajira au wengine wanaojitolea na wengi wakija kwa gia ya kwamba wanahitaji mwanaume mcha mungu sasa najiuliza hawa wanahitaji ndoa kweli au maisha yameenda mrama na expectations yao ya kupata ajira imepotea na sasa wanatafuta huruma ya kuolewa? Na wengi wakinipigia magoti na kuniomba niwaoe aisee

Kweli ajira imekuwa kaa la moto na unaelekea hawa wangekuwa kwenye peak yao ya ajira wasingehitaji kuolewa na sasa hawana ajira na wamechoka kuishi kwa wazazi wao so wanaona bora tu kuolewa ili wapunguze machungu ya kuolewa Tu? I'm sorry for them # Takbiiir #

#No reform no election# NRNE# .Takbiiir Allah Akbar.
Tutaona mengi
 
Hebu screen shot hizo sms tuone kwanza ndio tujadili hii mada
 
Hilo suala linaumiza sana mkuu hujui tu unakaa kwenu unasimangwa unagombania remote na wadogo zako si bora kuolewa tu

Mimi mwenyewe nawaza hapa niolewe tu
 
Back
Top Bottom