Kilunguru
JF-Expert Member
- Feb 2, 2023
- 334
- 448
Husika na kichwa Cha habari hapo juu,
Utekelezaji wa mitaala mipya uendane na upitiaji upya wa mitaala masilahi ya walimu, mfano;
1. Mpaka miaka ya Sasa mwalimu wenye Masters hawatambuliki kimuundo Wala kimaslahi, wakati nchi za wenzetu elimu kubwa na performance nzuri kimasomo ndo sifa ya kuwafundisha wengine.
2. Rais Samia amejitahidi sana kulipa maden ya walimu, tunaiomba serikali ipitie upya mishahara na masilahi ya walimu.
3. Tumeona walimu wakilalamika kwenye baadhi ya halmashauri zinawapigisha semina za MEWAKA walimu bure! Hii kitu inashusha morali ya walimu na ualimu tunaomba watafute njia nzuri ya kuwapa walimu seminar
4. Walimu endeeni kujituma na kusali sana achaneni na ulevi wa kupindukia na mikopo mitaani,
5. Maafisa Elimu na walimu wakuu mnaojiona miungu watu kutumia vyeo vyao kuwanyanyasa walimu, acheni hizo tabia wahudumieni walimu kwa busara na hekima kubwa kwasabu duniani tunapita na kazi tutaziacha/staafu hebu tuache record nzuri ya kuwatumikia walimu.