Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
Kweli mkuu, wanaweza hata kuhonga viwanda visizalishe ili wasipate ushindani wa bei kwa shehena zao za kutoka nje ya nchi.Ndiyo shida ya kuachia Kila jambo secta binafsi.
Hahahaaa...Tunywe mtori nyama ziko chini....!
Kama hali ndo hii kwisha kazi,,,mda mwingine nataka kujuta kwa nn nimezaliwa Tanzania Ila fresh maana unyonyaji na ukatili wa aina zote tunaongoza. Blah blah kibaooo.As of jana Mwanza sukari bei ya jumla kwa wale big suppliers ni 163,000 for 50kg na hapo inaemdelea kupanda wana estimate itafika 180k.
Hapo hapo kuna wandewa wanachukua sukar burundi, wanairebag kwa mifuko ya kagera sugar inauzwa tena
Tutafrahi!
nchi wameimanua manuuNchi imefunguka tulieni hivyo hivyo.
What is this in Lower Middle Income Economy!? Alafu eti wanataka tujadili dira mpya ya taifa 2050!?As of jana Mwanza sukari bei ya jumla kwa wale big suppliers ni 163,000 for 50kg na hapo inaemdelea kupanda wana estimate itafika 180k.
Hapo hapo kuna wandewa wanachukua sukar burundi, wanairebag kwa mifuko ya kagera sugar inauzwa tena
Tutafrahi!
Safi sana professor Janabi kwa kuishauri na kuishinikiza Serikali kuongeza bei ya sukari na mafuta ya kula. Usiishie hapo hakikisha nyama inapanda hadi elfu 30.Kilo ya sukari Tz imefika Tshs.5,000/, nadhani serikali inatakiwa itoe tamko kutupatia walaji mwongozo wa kipi kifanyike.
Sababu tunayopewa ni dhaifu kwamba mashamba ya miwa yamefurika maji wakati TMA ilitoa tahadhari miezi 2 kabla ya mvua kushuka. Nadhani ni Tz pekee ambako mvua na jua ni laana isiyokoma kwa kilimo, umeme, maji, mifugo, uvuvi nikitaja kwa uchache.
Aidha, viwanda vya sukari vya Magereza vilivyojengwa kwa kasi ya mwanga hatujui vimefikia wapi baada ya kutumia fedha za umma kwenye ujenzi huo kama machinjio ya kisasa ya Vingunguti, Kibaha, Simiyu na Manyara?
Tz sukari haijawahi kushuka kwa miaka 23 mfululizo tangu Julai 2001 licha ya mashamba ya miwa kuongezeka na viwanda vipya kujengwa Morogoro na Bagamoyo pamoja na uingizaji wa sukari ya nje ya nchi.
Tz sukari ni miongoni mwa bidhaa na huduma ambavyo vimekuwa vya kidemokrasia vikiwemo Korosho, Mafuta ya mitambo, Mafuta ya kula, Katani, Umeme na Maji.
Nchi kubwa, hali ya hewa ya kitropiki, mitambo ipo, rasilimaliwatu rahisi wapo, soko la ndani lipo lakini tumeshindwa hata kwenda kujifunza Uganda tu hapo namna ya kuendesha sekta ya sukari.
Uganda ina sukari kuzidi mahitaji ya ndani na hawajui wapeleke wapi ziada hadi waliwahi kuiomba Tz ichukuwe sukari yao hata kwa mkopo ili maghala yao yawe wazi kupokea uzalishaji mpya maana hawawezi kumwaga ziada ziwani.
Sasa mapapa wa biashara ya sukari wanapiga jaramba ili serikali iruhusu uagizaji toka nje ya jamhuri. Nadhani kwa spirit ya EAC serikali ichukuwe sukari ya Uganda ambayo nayo pia itapunguza bei kwa sababu ni jirani nasi kuliko kutoa sukari ng'ambo ya bahari. Let us think over and handle this matter strategically, progressively and proactively.
Sir Richard Gordon Turnbull GCMG hakukosea kutumia viboko kutawala Tanganyika.
Kwahiyo wanapata super profit ya 1740/ @kgAs of jana Mwanza sukari bei ya jumla kwa wale big suppliers ni 163,000 for 50kg na hapo inaemdelea kupanda wana estimate itafika 180k.
Hapo hapo kuna wandewa wanachukua sukar burundi, wanairebag kwa mifuko ya kagera sugar inauzwa tena
Tutafrahi!
Uzezeta, uzuzu, upunguani, uzandiki, ubazazi, 5Us.Serikali ya CCM haitaki tupate kisukari watu wake
Ila bia ishuke bei siyo? Madawa ya kulevya je Janabi anasemaje au haruhusiwi kugusa huko.Safi sana professor Janabi kwa kuishauri na kuishinikiza Serikali kuongeza bei ya sukari na mafuta ya kula. Usiishie hapo hakikisha nyama inapanda hadi elfu 30.
Haiwezekani watu kufa vifo vya kizembezembe tu kwa kula hovyohovyo unhealthy foods.
Janabi the national treasure.
Victoire
Waanze vyuo vikuu tutafuata sisi.Basi tuandamane kupinga kupanda kwa bei ya sukari
Bangi iwe bure na iruhusiwe isiishie tu hapo bunge ipitishe bangi iwe nembo ya taifa badala ya twiga.Ila bia ishuke bei siyo? Madawa ya kulevya je Janabi anasemaje au haruhusiwi kugusa huko.