Sugua gaga

Sugua gaga

Kuna jamaa enzi hizo naishi Biharamulo (early 90s) aliwahi kuficha sh. 20 humo.
 
6739bcb1db297c1110651638701a5c7d.jpg

Duh, miguu kama ya Tembo!!
 
Wasingekuja wazungu, wengi wetu humu tungekuwa kama huyo. Kutita tu ilikuwa vichakani sembuse viatu. Msinichambe nimesoma mahali
 
Makegete au magaga ikifika kipind chabarid yanachanika hadi dam zinatoka duuuh tuwaombee....dawa nikushindia gambuti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom