Sugua gaga

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,576
729,449
6739bcb1db297c1110651638701a5c7d.jpg
 
Huyo jamaa sio kwamba amependa ila ni shida tu. ukipiga hesabu saizi na baridi mtu unakuta anaoga harafu hapakai mafuta.
 
Unaweza kukuta ana zaidi ya miaka arobaini hajavaa viatu vta kufunika Mguu wote!...Akivaa kwa mwezi tu unarudi swafi kama mguu wa bianca
 
Back
Top Bottom