Sugu na RUGE

Sugu muhuni tu. Form four failure.

Hiyo form 4 yake inamtosha mi nliishia form 1 lakini kichwa changu au mambo yaliyo hapa naweza chuana hata na mkurugenzi wa tanesko au makatibu wa w/nishati na madini kuhusu mgao
 
Sugu anatetea wanamuziki lakini Ruge anawatapeli wanamuziki kwa hiyo wanamuziki kuweni macho na matapeli kama akina Ruge.
 
mararamiko/malalamiko, maudhui/mauzui, muuguzi/muhuguzi, silaha/siraha. acha ujinga mkuu huku kukosea kosea maneno kwa kijinga kunawafanya wengine wasielewe kinachoendelea. kumbuka jf inasomwa na wengi duniani

We hujawahi kuchapia? acha kujidai unajua sana au mstaarabu sana. kama umekosa cha kuchangia potezea.
 
Matatizo yao yalianzia mbali saaana ni kwenye unyonyaji wa Music lkn kuu kbs ni mradi wa Malaria.Khs wakosoaji kama umeelewa haina haja ya kukosoa mwenzio nmeangalia idadi kubwa ya waliokosoa nao wamekosea kama huamini rudia kuzisoma uone nao walivyokosea.Thx kama nimesomeka lengo ni kuelimishana na sio kuumbuana
 
Kwanza naomba samahani kwa makosa ya kutumia 'R' badala ya' L' hata hivyo nilitegemea mkosoaj wa kwanza baada ya kukosea angerudi kwenye mada na kunijuza, lakini ameishia kukosea na kuondoa. Mimi bado nina hamu ya kujua chanzo ni nini?
 
Matatizo yao yalianzia mbali saaana ni kwenye unyonyaji wa Music lkn kuu kbs ni mradi wa Malaria.Khs wakosoaji kama umeelewa haina haja ya kukosoa mwenzio nmeangalia idadi kubwa ya waliokosoa nao wamekosea kama huamini rudia kuzisoma uone nao walivyokosea.Thx kama nimesomeka lengo ni kuelimishana na sio kuumbuana

Cjakusoma kama inawezekana dadavua vizuri
 
na zito zaidi RUGE akizungukwa na kina Kibonde anataka kutafuna Vitoto vidogo kama midoli ya NGONO. SASA SUGU amekua akimlaani katika hilo
 
Back
Top Bottom