Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.

Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.

View attachment 2592447

"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
Hakuna serikali isiyo ua watu Duniani,ukipambana na Dola aidha ufe au uwe hai.
Ata uyo Mbowe anatuhumiwa kummaliza Chacha Wangwe!
 
Magufuli alikuwa Genius na ndiyo maana alipewa ile nafasi na aliitendea haki.Wewe Baba yako ambaye siyo mshamba mbona hakugombea!
Acheni upumbavu,uyo Bibi mnaemsifia kakaa miaka miwili tu,uwizi wa kutisha!
Mfuate huko aliko
 
Tatizo la watu kama kina Makonda, Sabaya na Magufuli ni watu wanaofanya vetting serikalini kabla ya kuwapa hawa watu nyadhifa.

Inahitajika wawepo waliobobea kwenye human psychology, waliobobea kwa viwango vya vya kuweza kuwa-"hypnotise" kabla ya kuwapa nyadhifa ndiyo pia wawe kwenye jopo la kuwawafanyia vetting.

Vetting za nyadhifa zozote zenye maamuzi serikalini ziwe zinafanywa "super thorough" siyo kijuu-juu tu.

Hivi vi informer vya uwt kabla havijapewa nyadhifa ndivyo vifanyiwe vetting za nguvu kabisa.

Wote hao niliowataja naamini wana "psychological problems".
 
Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.

Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.

View attachment 2592447

"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
MaKonda anaendelea kuitafuta Hela Kwa kufungwa pharmacy kubwa sana Kila mkoa endeleeni na porojo.
 
Tatizo la watu kama kina Makonda, Sabaya na Magufuli ni watu wanaofanya vetting serikalini kabla ya kuwapa hawa watu nyadhifa.

Inahitajika wawepo waliobobea kwenye human psychology, waliobobea kwa viwango vya vya kuweza kuwa-"hypnotise" kabla ya kuwapa nyadhifa ndiyo pia wawe kwenye jopo la kuwawafanyia vetting.

Vetting za nyadhifa zozote zenye maamuzi serikalini ziwe zinafanywa "super thorough" siyo kijuu-juu tu.

Hivi vi informer vya uwt kabla havijapewa nyadhifa ndivyo vifanyiwe vetting za nguvu kabisa.

Wote hao niliowataja naamini wana "psychological problems".
Katika kipindi cha miaka 6 nchi ilipitia kipindi kigumu sana maana ilikuwa inategemea kiongozi ameota ndoto gani.
 
Kuteka na kupora haki za wadamu hakwezi kulinganishwa na makosa ya kawaida.

Hadi USA wanakupiga ban usikanyage nchini mwao siyo jambo dogo.
USA ndio kipimo cha wema ? Makonda unamhesabia mabaya yake kwa kuwa alikua kiongozi hivyo alikua anajulikana.
Lakini kila mmoja tungejuana historia humu ndani kuna ambao ni chukizo mbele za Mungu kuliko hata Makonda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom