Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.

Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.

View attachment 2592447

"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
Tubalance aje makonda tumsikie
 
CCM imerudisha majangili yake yote kasoro Sabaya na Ally Hapy
 
Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.

Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.

View attachment 2592447

"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
kama alimpigia magoti, ndio kujifunza kutokana na makosa huko, mtu akikuomba msamaha msamehe. na bila shaka mbowe alimsamehe, ni mambo ya kisiasa. ila ana matobo mengine kibao ambayo chadema hawatamwacha nayo, ccm wamejilipua na wanajua kabisa kuwa anamatobo ila lazima wamehesabu garama.
 
Ccm imefiliska kiasi hiki?

Maana ccm ilikuwa imepwaya sasa inaensa kupwaya zaidi.

Makonda hana sifa nzuri almost kwa makundi yoote ya Watanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom