Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

Makonda kipindi akiwa DC alikuwa mtu poa sana. Alikuwa active kinyama.. kuna siku nilishuhudia LIVE akitoa solution kwa tatizo la uchafu mitaa ya Kigogo.. lilikuwa linahitajika greda haikuchukua hata lisaa. Baada ya kuupata ukuu wa mkoa ndo kiburi na upumbavu wake ukaanza.
Kipindi hicho cha udc ndiyo alikuwa anaishi kwa kwa......
 
Ww na mpumbavu mwenzako sugu weken video au picha at least Photoshop.Unaangaika na kuwashwa mitandaoni ,unaongea pumba .
Mbona hukuuliza video za aliyo yafanya hadi USA wakampiga marufuku kukanyaga nchini mwao?
 
Mbona hukuuliza video za aliyo yafanya hadi USA wakampiga marufuku kukanyaga nchini mwao?
Ww ndio mjinga na mpumbavu.Jibu hoja za msingi za mada iliyopo mezani.Acha kujibu na kuingiza vitu visivyokuwepo.Unaonekana huna hoja.
 
Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.

Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.

View attachment 2592447

"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
Wapumbafu wote wakamatwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom