Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

Hawa chadema akili yao wanajua wenyewe. Wapi sugu kasema makonda alimpigia mbowe magoti? Tunajua hai ilikua njia kuu kupitisha madawa. Uwezekano ni mkubwa kwamba makonda alikua sahihi na njia aliyotumia makondo ilikaribia kufuta tatizo la madawa ya kulevya.
Makonda alikua mtendaji mzuri sana na alikua na mbinu sahihi.
Ona jinsi aliona tatizo la ushoga mapema na njia sahihi kupambana nalo. Leo maji yako shingoni ndio watu wameshituka na wanaona ushoga lazima kupambana nao 'head on' method ndio tutaushinda.
Unaweza kutwambia kisa sahihi cha Makonda kupigwa marufuku kukanyaga USA?

Ukitwambia sababu haswa tutayaamini haya uliyo yaandika hapa.
 
Hawa chadema akili yao wanajua wenyewe. Wapi sugu kasema makonda alimpigia mbowe magoti? Tunajua hai ilikua njia kuu kupitisha madawa. Uwezekano ni mkubwa kwamba makonda alikua sahihi na njia aliyotumia makondo ilikaribia kufuta tatizo la madawa ya kulevya.
Makonda alikua mtendaji mzuri sana na alikua na mbinu sahihi.
Ona jinsi aliona tatizo la ushoga mapema na njia sahihi kupambana nalo. Leo maji yako shingoni ndio watu wameshituka na wanaona ushoga lazima kupambana nao 'head on' method ndio tutaushinda.
Ktk serikali hii Makonda ataishia kujiuza tu lkn kamwe hawawezi kupata kazi hata ya ulinzi wa mgambo.
 
Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.

Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.

View attachment 2592447

"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
Nilichotambua makonda na magufuli walikua wanawapa sana mileage hawa chadema, na bahati mbaya wao bado wanataka wawatumie mpaka leo kupata mileage wakati ni nyakati zingine...
 
Nilijua tu kuwa lazima likuchome maana kaguswa mumeo Makonda

🤣🤣🤣🤣
Eti "mumeo" huna hata aibu... Sifahamiani nae na ndoto ndio ukaifungia ndotoni...hongera pokea 🥇🏆 Ila upinzani mmepwaya haswa.. futi sita imewadia kipuuzi.. nenda kaongoze sasa.. 😅😅😅
 
Wenyewe wa wapi? acha ujinga makonda sio level yako Capri point sio kwamba ni nyumba tu ni Appartment kajenga! Masaki pia yupo kwake bado anavitu kibao kama pharmacy hapo Morogoro na kama unataka kumuona jitahidi kupanda ndege ya Mwanza Dar kila mara!
Kaa na ujinga wako! Capri point hana nyumba wenye nayo washa ichukua
 
Nyumbu tu wa Ufipa ndio wataamini, lakini Mimi niliyebatizwa jina la Sukuma Gang hata kami ni Mhaya Original SIKUBALI eti Makonda alipiga magoti! Nasema HAKUNA KITU KAM HICHO!
Makonda leo hii akionekana USA ni sawa na kipusa maana watamsweka Guantanamo
 
Ukumbuke kesi hakushinda, alitolewa tuu. Hivyo fail liko pale paleee. Na linasoma Hilo jina lake lililotukuka
Kwa mpumbavu atasema kama mbwa anayebweka hupati hoja wala mantiki bali kelele za vibweko. Maadam wenye akili timamu wamejua inatosha, endelea kubweka
 
Kwani yuko wapi kwanza makonda? Sio rahisi kupita wiki hata moja bila kuonekana.

Ikiwa haonekani hata Mwaka mzima basi yasemwayo yaweza kuwa kweli.
Anaishi kama nguchiro wa hifadhi ya burigi na rubondo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom