Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

Nenda kamshitaki kama unaushahidi! Jiulize kwa nini Kubenea na wengine wamefeli kumshitaki? Jiulize kwa nini hata yule jamaa wa gari hajafanya kitu maana hana ushahidi wowote! Makonda ni suala la wakati tu atakuwa mtu mkubwa!
Mtu mkubwa mbona tunamjua tu kuwa ni mkubwa?
 
Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.

Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.

View attachment 2592447

"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale Suuliyoyasababisha!"
Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.

Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.

View attachment 2592447

"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
Kwa dunia ya Sasa hivi watu Kama sugu na wapambe wao,mpo gizani sana.Na hata mleta mada upo gizani sana.Umeleta video ya Sugu akiongea badala ulete ushahidi wa video makonda akipiga magoti.Huu Ni uongo na uzushi wa kutafuta ,sifa .Makonda na Sugu nani rafiki wa mama zaid?Na Samia na Mbowe Nani ameshika mpini?Kwa hiyo Makonda ampigie magodi Mbowe ,asiye na dola?Weka picha au video tuone ,acheni upuuzi na ujinga.
 
Hatuhangaiki na wahutu kama wewe
 
Makonda kipindi akiwa DC alikuwa mtu poa sana. Alikuwa active kinyama.. kuna siku nilishuhudia LIVE akitoa solution kwa tatizo la uchafu mitaa ya Kigogo.. lilikuwa linahitajika greda haikuchukua hata lisaa. Baada ya kuupata ukuu wa mkoa ndo kiburi na upumbavu wake ukaanza.
 
Sasa mbona mtoa mada hujatuwekea picha inayo onyesha amepiga goti.

Tangazo 5.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom