Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.

Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.

View attachment 2592447

"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
Sawa
 
Iko siku Ccm Ujamaa watarudi kushika Dola ila sio akina Makonda!! Makonda ameumiza watu tangu awamu ya NNE !! Law of the Universe inasema ATALIPWA tu kwa Aliyowatendea watu !! What goes around comes around. !!
Makonda hana tofauti na sheitwan
 
Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.

Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.

View attachment 2592447

"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
Achukuliwe hatua.

Sheria zitumike maana huyu mtu hakua poa kabisa. Alidhalilisha na kuumiza wengi sana
 
Capri point ya wapi acha uongo nyumba ya Capri point isha chukuliwa na wenyewe
Wenyewe wa wapi? acha ujinga makonda sio level yako Capri point sio kwamba ni nyumba tu ni Appartment kajenga! Masaki pia yupo kwake bado anavitu kibao kama pharmacy hapo Morogoro na kama unataka kumuona jitahidi kupanda ndege ya Mwanza Dar kila mara!
 
Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.

Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.

View attachment 2592447

"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
Nyumbu ni waongo na wazushi
 
Wenyewe wa wapi? acha ujinga makonda sio level yako Capri point sio kwamba ni nyumba tu ni Appartment kajenga! Masaki pia yupo kwake bado anavitu kibao kama pharmacy hapo Morogoro na kama unataka kumuona jitahidi kupanda ndege ya Mwanza Dar kila mara!
Makonda ni mwizi kana Sabaya tu
 
Makonda ni mwizi kana Sabaya tu
Nenda kamshitaki kama unaushahidi! Jiulize kwa nini Kubenea na wengine wamefeli kumshitaki? Jiulize kwa nini hata yule jamaa wa gari hajafanya kitu maana hana ushahidi wowote! Makonda ni suala la wakati tu atakuwa mtu mkubwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom