Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,250
Reaction score
98,247
Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.

Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.

"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
 
View attachment 2592447

Na waliosema ni gaidii, nao walishampigia goti
 
Nyumbu tu wa Ufipa ndio wataamini, lakini Mimi niliyebatizwa jina la Sukuma Gang hata kami ni Mhaya Original SIKUBALI eti Makonda alipiga magoti! Nasema HAKUNA KITU KAM HICHO!
 
Hakulia

1681852251075.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom