Akihutubia mamia ya wakazi wa kata za uyole, amemshangaa rais kwa kutomwita mmiliki wa dowans, amesema rais, alisema hamjui mmiliki sasa kajileta mwenyewe kwa nini asimwite ikulu na kumkamata, amesema wasanii wa nje wakija nchini, anawaita na kupiga nao picha, kwa nini asimwite na kumkamata, akashangiliwa sana, yaani na umati we acha tu!