Mbaha
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 697
- 74
Mie nnavyojuwa Dowans ndio katapeliwa kenda mahakamani kashinda kesi na bado anafanyiwa mbinu za kutapeliwa.
You are bewitched!!! absolutely!!!!.... Positively....
Mie nnavyojuwa Dowans ndio katapeliwa kenda mahakamani kashinda kesi na bado anafanyiwa mbinu za kutapeliwa.
Ukitaka kujua hasira za majimshindo gusa dowans!mkuu una hisa hapo,au umekuwa kama mbwa,unabwata nje,mzee kalala ndani,malipo yake makombo.POLE rafiki
Akihutubia mamia ya wakazi wa kata za uyole,amemshangaa rais kwa kutomwita mmiliki wa dowans,amesema rais,alisema hamjui mmiliki sasa kajileta mwenyewe kwa nini asimwite ikulu na kumkamata,amesema wasanii wa nje wakija nchini,anawaita na kupiga nao picha,kwa nini asimwite na kumkamata,akashangiliwa sana,yaani na umati we acha tu!
Hii ni assumption yako au vipi? Kama ya viongozi wako at least wao wana wanasharia basi wangechukua hatuwa> Kama ni assumption yako basi baki nayo haina msaada kwetu>Kuna wana jf naona wanakuwa wasahaulifu haraka! Huyu jamaa alisign mkataba na Richmond bila kuwashirikisha Tanesco kama mkataba ulivyokuwa unataka. Halafu shinikizo wakapewa tanesco wasign nao bila kuhoji. Na huyu mmiliki alishawahi kuikana hiyo kampuni halafu leo anakuja kifua mbele akidai ni yake! Haya yote alitakiwa kuhojiwa na kwakuwa amejileta, wakati ndio ulikuwa mwafaka. Kumwacha aondoke hvhv haikuwa sawa. Nashukuru Mr II kuliona hilo na kuwafahamisha wananchi wa kawaida ambao hawapati access na media.
Amkamate kwa kosa lipi? huyu nae hana sera. Na hivi anaongea utumboo namna hii na watu wanamshangilia?
Mji wa Mbeya uliitwa jiji kisiasa halafu nakushangaa unapopiga domo wakati huyo Sugu ana miezi kama minne toka achukue ubunge tumpe muda. na ukizingatia Mbeya siku zote ilikuwa chini ya CCm sasa sioni sababu ya wewe kupiga kelele utadhani hujui walio sababisha idorore ni hao hao CCM na hapo kwenye red hivi Mbeya utaifananisha na Chalinze au Msoga ambako Mkwere kwa nyakati tofauti alishawahi kuwa Mbunge?
Mahakama gani imesema mkataba ulikuwa feki?Kusaidia polisi/uchunguzi kutokana na mktaba feki uliotuingiza hasara hadi leo hii. Pili alikuwa hajulikani hata na mkuu wa nchi, amekuja mwenyewe sasa mbona tunajigwayaa.... Nguvu zetu za dola zipo wapi?????
Amkamate kwa kosa lipi? huyu nae hana sera. Na hivi anaongea utumboo namna hii na watu wanamshangilia?
huwa sipendi kukujibu ila huwa nakualaart tu kwa upumbaaav wakoAmkamate kwa kosa lipi? huyu nae hana sera. Na hivi anaongea utumboo namna hii na watu wanamshangilia?