Toka kijana aingie hapa mbeya mjini, jimbo limekua zuri likipambwa na lami kila sehemu,. Kuanzia soko Marola, Soweto, Sae mpaka Teku kote ni lami kila sehemu,. Maboresho ya huduma za afya na shule zote za kata na zisizo za kata yamepambama moto,.
Kweli mbeya imepata mbunge wengi wanatamani hyu kijana awe ni mbunge wa kudumu,.
Sugu kipenzi cha wana Mbeya na kwenye michezo ndio usiseme kama mnavoskia halmashauri anayoiongoza ina timu ya mbeya city inayosonga mbele kwa spidi ya moto wa gesi,.
Wamachinga na wafanyabiashara sasa apa mbeya wanafanya biashara kama kweli ni watamzania manyanyaso hamna,.
Nani kama sugu,.
Nawashaurini 2015 watz popote msifanye makosa tuigeni wana Mbeya
Huna haja ya kutuonyesha vyeti nenda kwa Sugu akakupe kazi.
Kwa ugoro uliobandika, hivyo vyeti vitakufaa ukorokoroni tu.
Kwamba you are an uncivilised person is very clear to everyone huna haja ya kujitangaza, bangi mbaya!We ni kinyesi nimekwambia a.k.a chakula cha nzi huna hadhi ya kubishana na mimi mtegemea ajira ww
Hilo jumba la kifahari limejengwa kwa shi ngapi??Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
acha uongo,mbeya hawataki ata kusikia habari za sugu tena...kila siku kupigana bungeni wanambeya wameshamchoka hafanyi walichomtuma.
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
Sina uhakika na unachoongea.
Mbunge anapata wapi hela ya kutakatisha mji acheni kudanganyana kama mko shule ya vidudu serikali ndo imefanya hivyo pongezi ni kwa serikali na si kwa huyo mpiga ngumi bungeni

Ngoja aje Juliana hapa,!!
Hayo mabadiliko na hiyo misaada ya World Bank vilikuwa vinamsubiri Sugu awe mbunge ndiyo vifanyike? Akiwa chama cha upinzani? Ok, kumbe mbunge anastahili pongezi za dhati. Wananchi tunaona tofauti ya majimbo yaliyo upinzani na yale ya ccm, wala si suala la mtu kujilazimisha kuelezea wakati pengine hata mtu hajafika hata mara moja.
Kwamba you are an uncivilised person is very clear to everyone huna haja ya kujitangaza, bangi mbaya!
hebu fafanua kwa kina mtoa mada
Sugu kawekaje lami?
Hiyo ni kazi ya mbunge au ni mipango ya serikali?
Nijuavo halmashauri ya jiji wametoa fungu la kuweka lami
na zingine Tanroad.. Sugu kahusikaje hapo? labda kupigania iwekwe labda?
make it clear
labd utuambie machinga wamehamasika kuchangia kodi na wafanyabiashara wengine
labda utuambie uhusika wake katika hili.........
Napinga hili kwa sababu kuna watu wa CCM wanatuaminsha JK amejenga barabara
wakadiriki kusema CCM wamejenga barabara,
kwa hili la Sugu nahitaji ufafanuzi
Sugu gani alikua anaomba bia, huyu mwanzilishi wa hip hop bongo au???? Acha kuota we buku7 fc,