Sugu aitakatisha Mbeya

Sugu aitakatisha Mbeya

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,724
Reaction score
2,262
Toka kijana aingie hapa mbeya mjini, jimbo limekua zuri likipambwa na lami kila sehemu,. Kuanzia soko Marola, Soweto, Sae mpaka Teku kote ni lami kila sehemu,. Maboresho ya huduma za afya na shule zote za kata na zisizo za kata yamepambama moto,.

Kweli mbeya imepata mbunge wengi wanatamani hyu kijana awe ni mbunge wa kudumu,.
Sugu kipenzi cha wana Mbeya na kwenye michezo ndio usiseme kama mnavoskia halmashauri anayoiongoza ina timu ya mbeya city inayosonga mbele kwa spidi ya moto wa gesi,.

Wamachinga na wafanyabiashara sasa apa mbeya wanafanya biashara kama kweli ni watamzania manyanyaso hamna,.
Nani kama sugu,.

Nawashaurini 2015 watz popote msifanye makosa tuigeni wana Mbeya
 
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
 
acha uongo,mbeya hawataki ata kusikia habari za sugu tena...kila siku kupigana bungeni wanambeya wameshamchoka hafanyi walichomtuma.
 
Ni kweli kwa dials la barabara-feeder roads Sugu anasemwa kuchangua sana....
Sikupata kujua masuala mengine kwa hiyo siwezi kuyasemea
Heko Sugu na CHADEMA Mbeya
 
Sugu gani alikua anaomba bia, huyu mwanzilishi wa hip hop bongo au???? Acha kuota we buku7 fc,
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
 
Mkuu mbeya panatisha panang'aa lami -kila sehemi
Ni kweli kwa dials la barabara-feeder roads Sugu anasemwa kuchangua sana....
Sikupata kujua masuala mengine kwa hiyo siwezi kuyasemea
Heko Sugu na CHADEMA Mbeya
 
Mkuu nimeishi arusha watu wanamwanko mkubwa ila hapa mbeya kaka hii ni nchi tofauti magamba hapa yanajuta kupajua hayapo kabisa
Ngoja @W.J. Malecela a.k.a Le Mutuz na column ya LUMUMBA BUKU 7 FC waje hapa utasikia watakavyobwabwaja. Hawaamini kuwa watanzania wa sasa sio wale wa 1985.
 
Ngoja waje vijana (wazee) wa Lumumba utaona watakavyo piga kelele!!!!
 
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...

ID yako tu inathibitisha jinsi ulivyo mnafiki,mzandiki,mzushi,mfitini na mkuda,unaweza kututhibitishia hayo uyasemayo?,remove ur daft hapa........
 
Mbunge anapata wapi hela ya kutakatisha mji acheni kudanganyana kama mko shule ya vidudu serikali ndo imefanya hivyo pongezi ni kwa serikali na si kwa huyo mpiga ngumi bungeni
 
Back
Top Bottom