Siyo iringa tu ni mikoa takriban 10, mfano Mwnz, Mby, Tanga, Moro, nk, tatizo ninaloliona ni baadhi ya watz si wasafiri ndiyo maana wanalalamika kwa vitu vya ajabu.Iringa stendi ya Igumbilo inakwenda mwaka wa pili sasa abiria wanalazimika kushuka stendi na mabadi yanaenda tupu mjini. Maamuzi ya Mkuu wa Mkoa
Nikweli kabisa. Watu wanaropoka tuu malori kuanzia saa 12 asubuh mpaka saa 3 hayaruhusiwi kuvuka mbezi kuingia town nahaya mabasi yasiruhusiwe kabisa ilikuondoa foleniwazuie kabusa bus lolote kuingia town, safari iwe mbezi-mikoani-mbezi
Daladala wakale wapi? BRT ya kazi sasa?Ujinga kama huo pia nliuona kule Dodoma watu wanashushwa 88 wanahangaika na bajaji magari yakiwashusha yanaenda matupu mjini.
Kwanini magari yasiingie yakalipa huo ushuru wa stendi (Maana ndio wanachokitaka) then likapeleka watu hadi mjini
Kwani kabla ya hio stend walikula wapiDaladala wakale wapi? BRT ya kazi sasa?
Ila inabidi pawe na mpangilio, lengo ni kuondoa misongamano ya mabasi hayo makubwa, hata SGR lengo ni ili malorry yasije Dar, yachukulie mizogo bandari kavu huko Morogoro ikiwezekanaKwani kabla ya hio stend walikula wapi
Labda kama mgeni Mbezi, daladala za mbezi zinajaza all the time kabla ya kuja hii stand